Jembefmtz
Jembe FM was created with one goal in mind: to bring the world’s most popular music and creative
02/06/2026
Timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 maarufu k**a Serengeti Boys imeshindwa kutwaa ubingwa wa michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2026 nchini Morocco baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti minne kwa miwili kufuatia sare ya kufungana bao moja kwa moja kwenye kipindi cha dakika 90 za mchezo huo.
Follow Us On Social Media
Instagram -
Facebook -
X(Twitter) -
TikTok -
Thread -
02/06/2026
02/06/2026
Jambo ka kizalendo🔥🔥
02/06/2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais -Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole leo Juni 02,2026.
Follow Us On Social Media
Instagram -
Facebook -
X(Twitter) -
TikTok -
Thread -
02/06/2026
Bata la kizalendo linaendelea hapa ikisubiliwa fainali ya AFCON dhidi ya Senegal
02/06/2026
MWANZA K**A MOROCCO TU 🤩
Hali ilivyo muda huu hapa
Mwanza na Serengeti Boys 2026
📸
02/06/2026
wa kisiasa nchini Senegal umezidi kushika kasi baada ya Rais Bassirou Diomaye Faye kumfuta kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko, hatua iliyofuatiwa na Sonko kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge mnamo Mei 26, 2026.
Hali hii imesababisha mgawanyiko mkubwa wa kimaslahi ndani ya serikali, huku upinzani ukipinga uhalali wa mchakato huo wa uteuzi wa Sonko k**a kashfa ya kisiasa.
Follow Us On Social Media
Instagram -
Facebook -
X(Twitter) -
TikTok -
Thread -
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Jembe FM/Makongoro Road/Makongoro Street
Mwanza
255