flora_nitetee2
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from flora_nitetee2, Health/Beauty, Uhuru Street, Mwanza.
HIJAMA (KUUMIKA) [cupping therapy]
🟢-hii ni tiba ambayo imekuwa ikitumiwa tangu jadi kwa lengo la kutibu maradhi mbali mbali kwa njia ya kutoa damu chafu mwilini
🔺-MAANA YA HIJAMA
Neno Hijama linamaanisha ‘kutoa’ kwa Kiarabu. Kwa sasa inatambulika k**a njia mbadala ya tiba ya kutibu maradhi mbali mbali na magonjwa mengine katika mwili.
💢-Hijama au kuumika ni salama, isiyokuwa na madhara na njia isiyogharimu katika kutibu na kuzuia maradhi.
⚫-FAIDA YA HIJAMA
Faida ya kwanza kabisa na inayoongoza ya kuumika au hijama kwa muumin ni faida atakayoipata hapa duniani na kesho akhera, baada ya kufuata sunna iliyokokotezwa ya Mtume Muhammad
🟥-FAIDA ZAIDI
Inafahamika kwamba kuumika au hijama inasaidia kuongeza nguvu katika damu.
1️⃣- Inaondoa sumu na uchafu katika damu.
2️⃣-Inaharakisha uponyaji wa haraka na watu hupona maradhi haraka baada ya kuumika au hijama.
3️⃣- Kuumika au Hijama inafahamika kwa kuzuia maradhi na kwa hiyo inaweza kusadikika k**a inaongoza katika ukingaji wa maradhi mengi.
4️⃣-Zaidi ya hayo, pia ianfahamika kwamba kuumika au hijama inaweza kuwasaidia wale watu ambao wamekumbwa na uchawi au wamepatwa na Jini.
SOMA HAPO CHINI K**A HUJAKUTANA NA HII VIDEO INAYOUMIZA👇👇
Mwili wa Mwanafunzi wa Udom uliokutwa hotelini ukiwa tayari umeharibika kwa kuchukuliwa sehemu za siri na mfupa wa goti la kushoto na mtu aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wake Mr. Frank Haule ambae inasadikika kuwa ameshafanya matukio hayo mara kadhaa kwa ajili ya kafara ya utajiri wake
Mr. Frank Haule ni mmiliki wa Kampuni ya kuuza na kununua Madini mkoa wa geita.
Onyo kwa wanadada wote wasipende kuwaamini watu kwa kulaghaiwa kimapenzi hatima yake ndo hiii.
🌾✨ NIFO MIRACLE UJI kutoka DDF Herbal Clinic ✨🌾
NIFO Miracle Uji ni uji wa lishe unaofaa kwa watoto, wakubwa na watu wanaohitaji kuongeza nguvu na lishe mwilini. 💚
👶 Kwa watoto:
✅ Husaidia kuongeza hamu ya kula
✅ Huchangia ukuaji na lishe bora
✅ Huchangia kuimarisha mwili
🧑 Kwa wakubwa:
✅ Uji wenye virutubisho muhimu kwa mwili
✅ Husaidia kuongeza nguvu na ustawi wa mwili
✅ Unaweza kutumika k**a sehemu ya lishe ya kila siku
💚 Kwa watu wanaopata udhaifu wa mwili au wanaohitaji lishe ya ziada:
✅ Huchangia kuongeza lishe mwilini
✅ Husaidia mwili kupata virutubisho muhimu
🥣 Afya njema huanza na lishe bora
📍 DDF Herbal Clinic
📞 Wasiliana nasi:
0759 665 555
0654 777 778
0677 555 550
HealthyLife AfyaYaMtoto LisheBora Tanzania Mwanza
Mungu akutunze Unapambania nafasi yako sana? Wengi tunakuombea🙏🙏❤️
Mungu Akubariki sana mke wa Mecson Lyimo unatusaidia kumlea mama Duu😭 Akija mwanza siku 5 anaanza nirudishe nyumbani nimechoka
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Uhuru Street
Mwanza