MTC

MTC

Share

AIC MWANZA TOWN CHOIR - MTC
Tangu 1959/kanisa kuu/Makongoro/Mwanza. Waimbaji nyimbo za Asili za sifa, ibada na injili. *Tunajenga 'SAUTI MPYA YA MTC'

31/07/2026

MwanzaTown choir tutor safarini kuelekea Machakos Kenya kwa ajili ya mikutano ya injili. Leo 31/7/2026

25/07/2026

Tunaposubiri wimbo huu Kwa YouTube kwaya ya MWANZA TOWN CHOIR inatarajiwa kusafiri wiki ijayo tarehe 31/7/2026 kwenda huko Machakos, Kenya kwa ajili ya mikutano ya injili. Tuombee huduma hii

20/07/2026

Hapa ilikuwa Jana Jumapili tarehe 19/07 /2026 kanisani Makongoro wakati wa kuweka wakfu video album ya TULIJENGENI KANISA LA BWANA. HII NI KWA UTUKUFU WA BWANA. Baada ya hapo nyimbo zinaizwq kwenye flash lakini pia zitaingizwa kwa YOUTUBE

19/07/2026

AIC MWANZA TOWN CHOIR tunamshukuru Sana Mungu Leo tumeweka wakfu to Leo letu linalokwenda kwa Jina LA TULIJENGENI KANISA LA. BWANA. Flash zinapatikana na muda si mrefu zitakuwa ndani ya mitandao ya kijamii KARIBUNI SANA

18/07/2026
18/07/2026

Wimbo huu wa kisukuma TULASHIKA KWENUKO, TULIJENGENI KANISA BWANA na wimbo wenye Ono la kanisa UWE HODARI sie tumeuita NAHASHI kesho JPILI tarehe 19/07/2026 zinawekwa wakfu kanisani AICT Makongoro kanisa kuu wakati wa ibada. Baada ya hapo zitarushwa kwenye mitandao ya kijamii lkn pia INLAND RADIO NA TV. KARIBUNI SANA

15/07/2026

TAARIFA KWA UMMA
Kwa Sasa tuyaendelea kutumia. Jina LA MTC kutoka a na Sheri a ya FACEBOOK. Baada ya ya tarehe 12/Septembamwaka. Huu tutakuwa na Jina Kamil I AIC MWANZA TOWN CHOIR.
KWA SASA ENDELEA. KUTUFUAYILIA KWA. JINA MTC.

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


AIC Mwanza Town Choir/MTC
Mwanza