Chai dada
karibu tukuhudumie KWA changamoto yoyote ya wanawake KWA Ushauri na Tiba.
11/03/2025
https://youtu.be/980olecDwyE?si=NnJHGsDG_9mlNbrx
"Usifunge Kabla Hujajua Hili! Makundi Yasiyoruhusiwa Kufunga Kwaresima na Ramadhani"
26/10/2024
Haya ni maajabu ya dawa yetu iitwayo Stomach ulcers baada tu ya ndugu huyu kuanza kuitumia tu kabla ya kumaliza ameanza kula vyakula ambavyo alikuwa hatumii hapo awali kwasababu ya gesi tumboni na kiungulia amepata mabadiliko makubwa k**a anavyoelezea, Kupona kwako ndio Furaha yangu, hongera sana kwa taarifa hii, Naomba niseme tu kuwa hata wewe ambae Bado tatizo hili la vidonda vya tumbo linakutesa basi wala haina haja ya wewe kuteseka chakufanya Tumia dawa hii iitwayo STOMACH ULCERS'' dawa ambayo inaendelea kuwa Acha huru walio wengi kila iitwapo leo
Bei ya stomach ulcers ni 300,000
Kwa mahitaji ya dawa tuwasiliane
0620165254
23/10/2024
Kivumbasi (Holy Basil )
Huu ni mmea mzur na wenye baraka nying sana ni mmea ambao umepewa sifa nying sana tena sana za kuweza kumsaidia mwanaadamu kujitibu magonjwa mbali mbali .
Kivumbas nadhan wengi mnaujua na unasifa zingine kwenye ulimwengu ule mwingine nasikia lakin 🥲🥲🥲
Huu mmea una sifa za kutatua matatizo au magonjwa mengi sana yakiwemo haya :
✅️ Shida ya kupumua
✅️ Shida ya shinikizo la juu la damu (BP)
✅️ Inapunguza homa kwa kias kikubwa sana
✅️ Inapunguza kias kikubwa cha msongo wa mawazo
✅️ Tiba safi ya kinywa
✅️ Inatibu tatzo la mawe kwenye figo
✅️ Inatunza ngoz yako kwa asilimia 100
Huu mmea ukiuona mahal usiukate zaid umwagie maji upate kumea zaid na zaid
Huu mmea utapaswa kuchukua kwa kias chake kisha utachemsha na kunywa
Kikombe kimoja asubuh na jion kwa muda wa sku 14 mpaka 21
Wajawazito kaen mbal na huu mmea 🥲🥲🥲
NB: K**a huna Nyegez jitahid kumaliza maden ya watu mpendwa wangu wew wala hujarogwa 😁😁
Dr Jimmy
0620165254
23/10/2024
Ashwagandha Mti ama mmea wenye virtubisho vingi ndan yake🙏🙏
Leo nataka kuuzungumzia moja ya mti bora kuumbwa na Mwenyezi Mungu,kwan unafaida kede kede kwa jinsia zote 🙏🙏
Huu mmea unapatkana sana nchi za Asia na Tanzania maeneo ya kaskazin na nyanda za juu kusini
Faida anazopota mwanamke akitumia Ashwagandha
✅ina balance hormones
✅inaondoa na kukontroo kiwango cha mzio mwilin
✅Inasaidia mzunguko wako kua vzur zaid
✅wale mlio koma kuingia mwezin kabla ya umri wenu inasaidia pia kupata Mzunguko wako
✅inapevusha mayai kwa kasi ya ajabu
✅ minyegez ndio mahala pake
Faida kwa upande wa kiumeni
✅ ina balance hormones
✅Chanzo kikubwa wa uzalishaj wa hormones ya kiume testosterone
✅uimarishaj misul ya mwil pamoja na uume
✅inasaidia kwenye masuala mazima ya s***m kua hai na kueza kumpa mwanamke ujauzito
✅inasaidia kusimamia ukucha
Sasa basi faida ni nying sana ukiona wew umetafuta mimba au umetafuta njia mbali mbal za kumpatia ujauzito mwanamke wako basi tumia Ashwagandha na utakuja kuniambia moja ya mti bora kabisa dunian✅✅✅
Matumiz utatumia kijiko kimoja cha chakula utatumia kwenye maji moto au uji au chai asubuh na jion kwa muda wa sku 30
NB: Ashwagandha ukichanganya na Mnyege nyege Una asilimia 80 ya kubeba ujauzito wa mapacha ✅✅✅
Niwatakie kila la kher kwenye majukumu yenu ya kuendeleza uzao 🙏🙏
Dr jimmy
0620165254
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza
33000
05/03/2025
05/03/2025
05/03/2025
05/03/2025
01/11/2024
25/10/2024
24/10/2024
24/10/2024