Onesmo Lubinza

Onesmo Lubinza

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Onesmo Lubinza, College & University, Mwanza.

29/07/2025
29/07/2025

Ni majaaliwa yake Mola kuiona siku k**a hii ya leo, Namshukuru muumba wa vyote

25/07/2025

Namshukuru mwenyezi MUNGU kwa hatua ileeee

25/07/2025

Pande fulani hivi karibuni ( Mama na mwana)

Photos from Onesmo Lubinza's post 25/05/2025

Hakika kwa sisi Binadamu usiloliweza, kwake Baba mwenyezi MUNGU yote yawezekana, niwatakie J'Pili njema wapendwa wa BWANA 🙏🙏

23/05/2025

Maisha ni safari ndefu

Photos from Onesmo Lubinza's post 07/05/2025

Hapa duniani usitarajie shukurani kutoka kwa sisi Binadamu, watakushukuru muda huohuo lakini baada yahapo utasikia huyo Kalinga mno, ni mwenyezi MUNGU pekee anayekuona matendo yako k**a yanafaida hapa Duniani 🙏🙏

01/05/2025

Kuna wengine tunasherehekea may day tukiwajibika vilivyo. Niwatakie sikukuu njema wafanyakazi wenzangu wote

01/05/2025

Niwatakie may day njema wapendwa wangu

Want your university to be the top-listed University in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mwanza