Photo & Video editing pro
π₯β¨ Karibu Photo and Video Editing Pro!
Tunatoa huduma za kitaalamu za uhariri wa picha na video kwa ubora wa hali ya juu. πΈπ¬
Kwa kuongeza, tunakuletea maarifa ya maisha, ushauri wa maendeleo binafsi, na motisha ya kukusaidia kufanikisha ndoto zako. π‘
18/01/2025
Athari za Uchaguzi Mbaya wa Mwenzi wa Maisha
Uchaguzi wa mwenzi wa maisha ni uamuzi wa msingi unaoweza kubeba athari kubwa katika maisha yako. Ukiwa na mwenzi asiye sahihi, unaweza kukumbana na changamoto nyingi, k**a vile:
πΈ Hasara ya Kifedha:
Matumizi ya kupindukia yanaweza kusababisha madeni makubwa.
Kukosa mipango ya kifedha huzuia maendeleo ya familia.
π Kudumaa Kitaaluma na Kiroho:
Mwenzi asiyeunga mkono ndoto zako anaweza kukudhoofisha kimaono.
Ukosefu wa msukumo wa kiroho unaweza kudhoofisha imani na maadili ya familia.
π Afya ya Akili na Hisia:
Migogoro ya mara kwa mara huleta msongo wa mawazo.
Kukosa maelewano na heshima husababisha unyogovu na maumivu ya kihisia.
12/02/2024
KUSUBIRI # karibu ujipatie rist book,invoice,derivery note na mengine mengi Tu # Tupigie 0743453461 # Ulipo Tupo #
15/01/2023
DO YOU KNOW HOW YOU CAN MAKE INCOME WITH PHOTO AND VIDEO SHOOT, DON'T SLEEP FIGHT TO FREE OURSELVES! learn every day a new way to design dear ones,,
29/09/2022
CODE TO GET
BEAUTIFUL COLOUR IN
ADOBE PHOTOSHOP // using chanel Mixer
trick___ # let me see #
Hi ππeveryone if you are here just know that u are at the right side keep invite more friends
21/09/2022
FREE ACTION photshop # download https://chat.whatsapp.com/B7nFxbxHtGoCQ94Ci5CRxp
20/09/2022
https://chat.whatsapp.com/B7nFxbxHtGoCQ94Ci5CRxp. COLOUR GRANDING
19/09/2022
tutorial coming soon,, Endelea kubaki nasi
18/09/2022
colour grading in adobe photoshop cc2018
π€©πβΊοΈπ€© light # karibuni tujifunze zaidi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza