CBE GRAM

CBE GRAM

Share

It is an official page for CBE MEDIA which will be bringing to you daily updates,events plus other c

17/03/2024
16/03/2024

Misa Takatifu ya kumuombea Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Magufuli itafanyika kesho Machi 17, 2024 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi wilayani Chato mkoa wa Geita.

Kaimu mkuu wa mkoa wa Geita, Said Nkumba amewaambia waandishi wa habari kuwa Misa hiyo itahudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, mke wa Hayati Dkt. Magufuli Mama Janeth Magufuli, viongozi, Wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki.

Misa hiyo Takatifu ya kumuombea Rais wa awamu ya Tano Dkt. John Magufuli inafanyika Machi 17, 2024, ikiwa imetimia miaka mitatu tangu alipofariki dunia Machi 17, 2021.

Baada ya Misa hiyo Takatifu wageni mbalimbali watakaribishwa katika viwanja vya hoteli ya JS kwa ajili ya kupata chakula ambapo pia baadhi ya viongozi watapata fursa ya kuzungumza.

Photos from CBE GRAM's post 20/02/2023

Tumerdi tena, mmetumiss ama hamjatumiss?
Zenfinex Africa Tanzania launches in Dar es Salaam

Habari njema kwa wale wanaopenda kutrade {forex,Cryptocurrency, hisa, bonds n.k.} hii ni yenu waungwana. Zenfinex Africa wamewaletea chombo hicho kipya cha kutrade ambacho hakina mlolongo, mara ili utrade mpaka upitie kwa mabroker ama ukitaka kupokea malipo huwezi kulipwa direct hadi ipitie mkono mwingine yani hapa madola yako yanaingia kwenye m-pesa ama Tigo pesa yako direct, una mambo hayo?Lakini pia wanasaidia kukupatia mwangaza (elimu) kuanzia wewe ambaye hujawahi kutrade kabisa lakini unasikia sikia watu wanavunja vibunda hapo CBE campus hadi wanasusia BOOM🤣🤣🤣 Kabla hujaingia kichwa kichwa wanakupatia elimu ili uone k**a ndiyo penyewe ama umepigwa. Lakini pia hadi ma pro traders yani magwiji wa kutrade pia mnaptiwa elimu hiyo in addition to assistance,
Zenfinex Africa Tanzania launches in Dar es Salaam
Dar es Salaam, Tanzania – Aspiring, upcoming and experienced traders in the city can now experience the future of forex trading with the launch of Zenfinex, a cutting-edge brokerage offering a range of innovative features. Founded on the principle of shared success, Zenfinex promises to simplify the trading process, revolutionize the way traders buy and sell currencies, cryptocurrencies, metals, etc., and provide users with a sense of inner calm. With its advanced trading platform, low fees, fast, secure, and convenient deposit and withdraw options, and superior customer services and support Zenfinex is poised to shake up the forex industry and become the go-to brokerage for traders in the region.

Financial markets are platforms where financial instruments are traded, these markets can be categorized into different types stock markets, bond markets, foreign exchange markets, and much more. These markets provide a way for investors and traders to buy and sell these assets in order to make a profit. Traders in financial markets are individuals or institutions who buy and sell financial assets with the aim of making a profit.
MIND YOU🧐🙄🙄
Hakikisha unapata/unakuwa na elimu stahiki ndiyo utrade. Machapisho haya yana kuhabarisha kuhusu chombo

Continues........

Photos from CBE GRAM's post 12/08/2022

📖
📘📘CBE BOOK REVIEW📖📜
The Founders by Jimmy Soni 📚
The inside story of PayPal
Elon Musk, Peter Thiel, and the company that Made the Modern Internet

Through the subtitles of this book one can get a glimpse of what it is going to talk about.

I picked this book because I had a very tough experience with PayPal in recent times. The matrix of security it possesses is quite unique and highly sensitive. I wanted to fragment the brain behind this concept and here in this book it has vividly discussed it.

✴️The Founders is a gripping account of PayPal's origin in its very raw form. The company and the founders and their rich breakthrough innovation which yielded the modern transactions and a revolution on the internet.

✴️This book is an intense read for the curious minds about the building blocks of the PayPal where the author shares his numerous interviews with the co-founders, ex-employees, and shareholders of the PayPal.

✴️How Musk founded X.com for the purpose of financial services. During the same period Levchin founded a company called Confinity in 1998. Peter Theil became an early investor and also confounded Confinity which was designed to handle payment between Palm Pilots.

✴️After a following year Confinity merged with Elon Musk 's X.com, PayPal was created, with Thiel becoming its CEO and chairman.

✴️So, this books specifically covers the inside story of how these companies merged and what led them to prevail the Muskism concept.

✴️There were conflicts and turmoil permeated shows the pivotal of companies.

✴️Jimmy Soni accounts the captivating picture of making of PayPal through a detailed analysis and research which can entertain and information the readers about the start-ups hurdles and the personal account of PayPal's success.

✴️Though, this book could become a bit compact by removing the dialogues exchange between the founders, at a point I started finding this book stretchy and useless flexed.

✴️The author has digged and presented technicals of these companies which narrow down the scope of readers for this book. *My absolutely personal view*

I find it like another side story of Elon Musk and his growth with PayPal.

Not for beginners!!

Photos from CBE GRAM's post 10/08/2022

8/8
CBE yaibuka washindi kwenye maonyesho ya wakulima nane nane.

29/07/2022

Rais mstaafu wa serikali ya wanafunzi CBESO MWANZA CAMPUS Mh.Salum mtaturu anawatakia jummah mubarak⭐🌙

Jummah (Arabic: جمعة‎) (also known as Friday prayer) is a congregational prayer (salaat) that Muslims hold every Friday around noontime. It is mentioned in the Qur’an as:
“O you who believe! when the call is made for prayer on Friday, then hasten to the remembrance of Allah and leave off trading; that is better for you if you know. And when the prayer is ended, then disperse in the land and seek of Allah’s bounty, and remember Allah much, that ye may be successful.” (Qur’an 62: 9-10)



#جمعة مباركة #

03/05/2022

مجتمع عيد مبارك CBE

Heart is heavy as I bid farewell to a precious month that no one is guaranteed to experience next year. But full of joy that perhaps, out of the 30 days we were asked to give up things; one of those days is one that our sins were wiped cleaned and we were all forgiven by the most compassionate ❤️

May Allah reward us all for our ibaadat. 😘💫

عيد مبارك

Photos from CBE GRAM's post 01/04/2022

Je 'Siku ya Wajinga' duniani ilianzaje?

Siku ya wajinga duniani -inayoadhimishwa Aprili 1 kila mwaka - imekuwa ikiadhimishwa kwa karne kadhaa na tamaduni tofauti, ingawa asili yake halisi bado ni siri.

Mila ya Siku ya wajinga ni pamoja na kuwadanganya watu au kuwafanyia au utani wa vitendo mbalimbali.

Wakati historia yake halisi imeghubikwa na siri, kukumbatiwa kwa utani wa Siku ya Wajinga ya Aprili Mosi na vyombo vya habari kumehakikisha maisha marefu ya likizo hii isiyo rasmi.

Je siku hii iliasisiwa lini na kwa madhumuni gani?

Siku hii ilianzaje?

Baadhi ya wanahistoria wanakadiria kwamba ya Siku ya Wajinga ilianza mwaka 1582 wakati ambapo Ufaransa ilibadili kalenda ya Julian na kuhamia kwenye kalenda ya Gregorian.

Kubadilika huku kwa kalenda kulibadilisha tarehe za mwaka na hivyo nchi hiyo ikaanza kusherehekea mwaka mpya Januari Mosi badala ya Aprili.

Lakini kwa bahati mbaya maamuzi hayo ya kubadili kalenda ya mwaka yaliyofanywa na Papa Gregory wa 13, hayakuwafikia wananchi wote wa Ufaransa na badala yake baadhi wakaendelea kusherehekea mwaka mpya Aprili Mosi. Hivyo basi waliosherehekea mwaka mpya Aprili Mosi, waliitwa wajinga na siku hiyo ikaitwa ya wajinga.

Watu ambao walichelewa kupata habari au walishindwa kutambua kuwa mwanzo wa mwaka mpya ulikuwa umehamia Januari 1 na waliendelea kuusherehekea katika wiki ya mwisho ya Machi hadi Aprili 1 wakawa wanafanyiwa utani na wongo wakiitwa "Wajinga wa Aprili.

"Mizaha hiyo ilikuwa ni pamoja na kuwekewa karatasi zilizochongwa kwa muundo wa samaki migongoni mwao na akiitwa "poisson d'avril" (samaki wa Aprili), iliyosemekana kuashiria samaki wachanga, waliovuliwa kwa urahisi na mtu anayeweza kuhadaiwa kwa urahisi.

Wengine wanaihusisha siku hii na sherehe za Warumi zilizoadhimishwa Aprili Mosi ambapo watu walivaa nguo za ajabu na za kuchekesha wakati huo, ilianza kusherehekewa Machi 25 na kumalizika Aprili Mosi.

Baadhi ya wanahistoria wa Uingereza wameihusisha sikukuu hii na sherehe zinazofanywa kila Aprili Mosi nchini India ambapo watu walirushiana vitu na kuchafuana kwa keki au rangi k**a sehemu ya utani.

Source:BBC SWAHILI,

19/02/2022

Kimeishaanza kubamba ndani ya Arena, maeneo ya hapa Nyasaka Centre, fanya k**a unasogea kupata vibe la kutosha kwa damage ya sh000 yani zero kiingilio na utapata serengeti lite moja bure getini. Hujachelewa vibe liko k**a lote.



youthvibing

05/02/2022

Mitihani ndiyo hii hapa imefika kabisa.
Exam is the best way to get rid of a teacher you don’t like. 😉😉😂😂 mtaje huyo lecturer hapo chini ambaye utamuondoa baada ya UE..ila mi simo

Leo tuanze na simple rules tu,
🚨🚨k**a unajua haujafikisha course work hautoruhusiwa kufanya mitihani husika ambao hukufikisha course work yake. Na sina shaka wote tunaifahamu course work inayohitajika ni ngapi na tulisaini.
Kutofikisha course work siyo kwamba ndiyo umefeli, hapana, ila muda huo unatakiwa kuweka nguvu ili kurekebisha pale ulipokosea hadi kipindi cha supplementary kitakapofika. Lakini pia hata k**a utaingia kufanya mtihani ambao hukufikisha course work yake, hautohesabika au kubadilisha kitu hata k**a utapata 100% 🙄.

🚨🚨Tujitahidini pia kufuata maagizo/sheria ndogo ndogo kabla/wakati/baada ya mitihani k**a vile, jaribu kuingia na vifaa vyako vyote unavyojua utaviitaji wakati wa mitihani mf.pen, ruler,pencil, calculator. Kuepukana na usumbufu wa kuwasumbua wenzio lakini pia wasimamizi.

🚨🚨vaa mavazi ambayo utakuwa huru, na yanayoruhusiwa

🚨🚨Epuka kuigia wakati wa mitihani. Kuigia {CHEATING} ni moja kati ya makosa ambayo kwa hapa chuoni kwetu CBE hayana mjadala na kuchukiwa sana,maana yanakupupambaza wewe na si sisi,{kudhani una 10,000 kumbe una 0000}, na kwa kuwa tunakutakia mema lazima tukuvute usije tumbukia shimoni. we understand you call it teamwork, how ever "avoid teamworking during exam sessions " take it as a friend who gives you false❌ answer and wants you to cut off all of your correct answers✅

🚨🚨Best luck for your forthcoming examination. Stop worrying and start doing your best to show everyone that you know everything! You are prepared for this exam, no need to be worried.There is a saying: “Don’t stress, do your best, forget the rest!” Remember this when you’ll start your exam, just stay calm, write what you know, and pray that you pass!
Don’t let the nervousness ruin everything you’ve prepared! Good luck with your exam

Photos from CBE GRAM's post 04/02/2022

KONGAMANO LA FURSA KWA VIJANA.

Tanzania Higher Learning Institutions Students Organisation (TAHLISO), wanakuletea kongamano la fursa kwa vijana wa vyuo na vyuo vikuu Tanzania.
Venue: Rockcity Social Hall Mwanza
Time:11:00A.M saa 5 asubuhi
Entrance fee: 0000 hakuna kiingilio kabisa

Meza kuu watakuepo watu wanaoelwa maisha halisi ya kijana wa kitanzania. Na wataweza kukufungua kwa namna moja ama nyingine wewe kijana kuhusu fursa zinazopatikana na hatua zipi za kuzifuata ili uwaze kuzinyakua🏅.
Nadhani wengi wetu tunamfahamu MH.Kishimba alivyo real hapindishi pindishi mambo, na michongo anayo buku kidogo, sasa huyo ni mmoja tu kati ya sura zitakazokuwepo siyo kuongea na wewe bali kukupa wewe kijana fursa
Na namna za kupita nazo.

Jamani kwa wale vijana wezangu Rockcity social HALL ni pale pale maeneo ya CASK au rockcity mall usije dhani ni mbali au hupajui, hapana ni hapa hapa. Tukutane mapema tupate michongo,
FURSA K**A HIZI NI ADIMU SANA HAPA NCHINI usikubali kupitwa.

03/02/2022

JIUNGE NA PROGRAMU MPYA.

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) tumeanzisha programu mpya za masomo ambazo mitaala yake imefanyiwa utafiti wa kina na Wataalamu wabobezi kwenye nyanja ya Biashara na kuhakikisha zinaendana na soko la ajira kwa sasa na hapo baadae.

Programu hizi zitakuwa zinapatikana kwenye kampasi zetu (Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya) kwa mwaka wa masomo 2022/2023 karibu sana.

Kwa elimu hii inayotolewa na cbe nimeamini kweli elimu haina mwisho. Unaachaje sasa kwa mfano kurudi masters k**a umemaliza Bach kuisoma hilo likozi lizuri hapo la entrepreneurship and innovation.

In the comment section below niambie ni kozi gani ungependa kuisoma k**a una nafasi,

Waweza ni dm k**a Kuna kozi ungependa kuifahamu zaidi au unataka kujua inahusiana na nini!
NB:course hizi zimeongezwa,course zilizokuwa zikitolewa hapa chuoni bado zipo.

Want your university to be the top-listed University in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mwanza
33201