Dr. Mbeki
๐ฟ Suluhisho la afya kwa njia ya asili
Tunasaidia changamoto za afya kwa tiba za mimea.
๐ Piga/WhatsApp: +255 764 233 411
๐ Afya ni maarifa Usiache Kujifunza
๐ FAIDA ZA MPERA KWA AFYA YAKO ๐
Je, unajua kuwa mpera ni moja ya matunda yenye virutubisho vingi vinavyosaidia mwili kufanya kazi vizuri?
โ
Huongeza kinga ya mwili kutokana na kuwa na Vitamin C kwa wingi.
โ
Husaidia mmeng'enyo wa chakula kwa sababu una nyuzinyuzi (fiber) zinazosaidia utumbo kufanya kazi vizuri.
โ
Husaidia kupunguza tatizo la kufunga choo.
โ
Huchangia afya ya moyo kwa kusaidia kudhibiti kiwango cha mafuta mabaya mwilini.
โ
Husaidia kudhibiti sukari kwenye damu inapoliwa kwa kiasi sahihi.
โ
Husaidia ngozi kuwa na afya nzuri kutokana na vitamini na antioxidants zilizomo.
โ
Husaidia mwili kupambana na uchovu na kuongeza nguvu.
๐ Ushauri: Kula mpera ulioiva vizuri na usisahau kunywa maji ya kutosha kila siku kwa afya bora.
๐ Afya ni Maarifa. Usiache Kujifunza. ๐
๐ +255 764 233 411
ใviralใท
๐ฟ AFYA NI UTAJIRI WA KWELI ๐ฟ
Watu wengi hutafuta fedha kwa bidii, lakini husahau kwamba bila afya njema ni vigumu kufurahia mafanikio hayo.
K**a umekuwa ukisumbuliwa na: โ
Acid Reflux
โ
Vidonda vya tumbo
โ
Gesi tumboni
โ
Kichefuchefu mara kwa mara
โ
Kuhisi kitu kimekwama kooni
โ
Kuvimba tumbo baada ya kula
Usikubali kuendelea kuteseka kimya kimya. Tafuta taarifa sahihi na chukua hatua mapema.
๐ Afya ni maarifa. Usikome kujifunza.
๐ +255 764 233 411
ใviralใท
Kuendelea kuteseka na Kiungulia wakati dawa hii hapa na iko mtaani kwako sio jambo jema mimi nime share kazi yako kuchukua hatua.....!
ใviralใท
30/05/2026
๐ฎ JE, UMEWAHI KUHISI K**A KUNA KITU KIMEKWAMA KOONI?
Au unasumbuliwa na:
โ Harufu mbaya ya kinywa isiyoisha hata baada ya kupiga mswaki
โ Koo kuuma mara kwa mara
โ Kikohozi kisichoeleweka
โ Kuhisi kitu kimekwama kooni unapomeza
โ Maambukizi ya koo yanayojirudia mara kwa mara
Inawezekana tatizo likawa linahusiana na MAWE YA TONSIL (Tonsil Stones).
Watu wengi huishi na hali hii kwa muda mrefu bila kujua chanzo chake, wakidhani ni tatizo la kawaida la koo au tumbo.
โ ๏ธ Usipuuze dalili hizi k**a zimekuwa zikijirudia mara kwa mara.
Elimu sahihi ya afya inaweza kukusaidia kuelewa chanzo cha tatizo na hatua zinazofaa kuchukua.
๐ฒ Kwa maelezo zaidi:
+255764-233-411
๐ Afya ni Maarifa
๐ Usiache Kujifunza
ใviralใท
- ๐ฅ Ushuhuda mwingine huu hapa ๐
- Mgonjwa alikuwa akisumbuliwa na:
- โ Gesi tumboni
- โ Kiungulia
- โ Tumbo kujaa baada ya kula
- โ Maumivu ya kifua na mgongo
- Baada ya kuanza kutumia program yetu ameanza kuona mabadiliko ๐
- Kumbuka:
- Tatizo la tumbo likikaa muda mrefu linaweza kuharibu kabisa maisha yako ya kila siku โ usingizi, appetite, nguvu na amani ya mwili.
- Usizoe maumivu k**a sehemu ya maisha.
- K**a unasumbuliwa na:
โ๏ธ Acid reflux
โ๏ธ Vidonda vya tumbo
โ๏ธ Gesi
โ๏ธ Kiungulia
โ๏ธ Kukosa choo vizuri
- Andika โMSAADAโ inbox tukuongoze hatua kwa hatua ๐ฉ
- Au Piga sm kua
+255764-233-411
ใviralใท
๐ Hivi unajua faida ya kula senene?
Wahaya wanajua sana utamu wake na nguvu zake! ๐ฅ
๐ฆ Senene ni zaidi ya kitafunwa โ zina protein nyingi, zinaongeza nguvu mwilini na ni sehemu ya utamaduni wenye heshima kubwa Kagera. โค๏ธ
Ukishaanza kula senene za ukweliโฆ chipsi zinaweza zikakusahau ๐
Je wewe umewahi kula senene?
Niambie zinapikwaje vizuri zaidi๐
ใviralใท
Usiache kua makini Aisee Watu sio watu tena
๐ OFA MAALUM YA EID AL-ADHA ๐
๐ก SABABU YA OFA HII:
Kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Al-Adha, tumefungua nafasi chache za watu 5 pekee ili kuwapa fursa ya kuanza program ya mwongozo wa afya ya tumbo kwa gharama ya upendeleo.
๐จ UMESHAWAHI KUJIHISI HIVI?
- Kiungulia kikikutesa usiku
- Tumbo kuungua baada ya kula
- Gesi kujaa tumboni na kukosa amani
๐ Hii si kawaida, ni ishara ya changamoto ya tumbo inayohitaji mwongozo sahihi.
๐ก SULUHISHO LIPO HAPA
Program maalum ya mwongozo wa afya ya tumbo kwa watu wenye:
โ Kiungulia (Acid Reflux)
โ Vidonda vya tumbo
โ Gesi tumboni na tumbo kujaa
๐ฏ UNAPATA NINI KWA 310,000/=
โ Mwongozo wa chakula na mtindo wa maisha
โ Ufuatiliaji wa hali yako (Follow-up)
โ Msaada wa kuelewa chanzo cha changamoto yako
โ ๏ธ KUMBUKA:
Kuchukua hatua mapema husaidia kupunguza madhara yanayoendelea kwa muda mrefu.
๐ฐ Gharama ya Ofa: 310,000/= tu
๐ Thamani halisi ya Program: 700,000/=
๐ PIGA SIMU WEKA ODA / : +255 764 233 411
๐ณ MALIPO (M-Pesa): +255 746 405 557
โ ๏ธ KUMBUKA:
- Ofa hii ni ya watu 5 pekee
- Inaisha kesho saa 12:00 usiku
๐ก AHADI YA HUDUMA (MONYE GUARANTEE):
Ukifuata program kikamilifu kwa siku 14 za mwanzo k**a ulivyoelekezwa, na bado usione mabadiliko yoyote ya msingi, tutapitia hali yako na kushughulikia kwa mujibu wa masharti ya huduma ya program.
๐ฉ Andika: "NIKO TAYARI" au piga simu sasa kuanza mara moja.+255764-233-411
ใviralใท
Habari ๐
Watu wengi wenye Acid Reflux na Vidonda vya Tumbo wanafanya kosa moja kila siku bila kujua.
Je, dalili yako kubwa ni ipi kwa sasa?
ใviralใท
Andika neno: DALILI
Nikueleze.
UMECHOKA kutumia dawa za kiungulia mara kwa mara lakini tatizo linaendelea kurudi?
Watu wengi hupunguza maumivu kwa muda, lakini hawajui chanzo kinachofanya kiungulia, gesi tumboni au acid reflux kujirudia tena na tena.
K**a:
โ Unapata kiungulia baada ya kula
โ Unasikia moto kifuani au kooni
โ Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
โ Kichefuchefu au tumbo kutokuwa sawa
Bofya "Learn More" ujifunze hatua zinazoweza kusaidia kudhibiti hali hii na kupata ushauri kulingana na changamoto unayopitia.
๐ Bonyeza hapa kupata maelezo zaidi. https://chat.whatsapp.com/H42tbzytVfUEKq5Vi7qiwd
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Website
Address
Nyamagana
Mwanza
1333
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 19:00 |
| Tuesday | 07:00 - 07:58 |
| Wednesday | 07:00 - 19:56 |
| Friday | 07:00 - 19:00 |
| Saturday | 00:00 - 00:00 |