Tucasa NETC
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tucasa NETC, College & University, Muheza.
Huu Ni ukurasa unaohusu mambo mbalimbali ya kiroho na taarifa mbalimbali zinazohusu chama Cha tucasa kilicho chini ya idara ya vijana katika kanisa la waadventista wasabato
10/01/2022
Karibuni sana Kwenye Joint Worship Ya Tucasa Kanda ya Tanga Mheza Tanga
21/11/2021
Hizi ni baadhi ya picha za tukio la kikao cha kwanza pamoja na semina za viongozi wa Tucasa Netc kilichofanyika Same katika kanisa la Sangu Sda Church Kuanzia tarehe 05-07.11.2021
15/11/2021
It is a week of Prayer you are mostly invited to Attend it will increase something else to your spiritual growth, This week of prayer will go in touch with special day for fasting and praying
Kumtumikia MUNGU daima
23/10/2020
Happy sabbath all Tucasa member NETC,
GOD bless you.
23/10/2020
Tucasa Mwenge Choir wishing you happy preparation for the Sabbath.
08/10/2020
Karibuni katika maombi ya siku tatu kwa ajili ya kikao Cha Tucasa union
08/10/2020
Kutakuwa na kikao Cha Tucasa Union ya Ntuc kitakachohusisha viongozi wote wa Conference/ field na Union kwa ujumla siku ya tarehe 11.10.2020 katika kanisa la waadventista wasabato Njiro Arusha naombeni wahusika tujitahidi kufika au kutuma wawakilishi,
Mungu awabariki mnapojiandaa kufanya hivyo 🙏
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Muheza