Kilimo Pro Max.
+255
29/09/2026
Kwa kiha ni MSOGORO kikwenu mnaitaje?
29/09/2026
Kwann mstutanie bwana tupo serious
29/09/2026
Msimu huu ni historia nyingine kwahio lima eneo kubwa k**a unaweza ya mwaka jana sio k**a mwaka huu.
29/09/2026
Ukilima mahindii kisha yakaanguka chini wakati wa kukauka na mvua zinashesha hii lazima ikukute k**a unataka uepukane na hii basi labda uyakusanyie kwenye mti ukiwa umeyasimamisha pia isiwe mda mrefu zaidi yataoza kwasababu ya maji mengi.
29/09/2026
DK777 Ndio chaguo la wakulima wanaolima mbegu za kampuni kutoka Bayer Chukua hio au 90-89 Kwa mvua za elinino.
29/09/2026
Ulisha wahi kutoa hizo nywele za mahindi kisha ukasubiri kitatokea nini baada ya kukomaa na ni majibu gani uliyoyapata baada ya majaribio hayo?
29/09/2026
Wow Katoro bei imefika 90,000 Gunia mliopo karibu sogezeni mahindi Katoro
Kwenu bei gani kwasasa na ni mkoa gani kijiji gani wape bei wadau huenda wakawa na soko zuri la karibu na wewe Msimu wa kilimo ndio huu unaanza tuingie chaka kwa pamoja follow page hii leo usipitwe ukiwa familia utafaidi mengi ikiwemo kupata mwongozo kwenye kilimo chako karibuni sana.
29/09/2026
Mmmh hii shida inawatesa wengi sana k**a hujaijulia tiba
28/09/2026
Si niliwambia kuwa wanaijeria wao wana kilimo chao tu hapo unaweza kuta Ni shamba Darasa ๐๐๐ Farm Demo From Nigeria.
28/09/2026
Kuna kitu hakija kaa sawa hapa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Muheza
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Kilimo Pro Max. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.