Emmy-Redy products

Emmy-Redy products

Share

Emmy-redy products huzalisha viungo bora vya chakula (multipurpose food masala) ambacho hutumika kupikia chakula chochote k**a nyama, samaki etc.

Viungo vya pilau na chai kutokana na mbegu ya parachichi na vimethibitishwa na TBS

05/01/2024

Chai ni kiburudisho, kinywaji na tiba kwa mwili wako. Tea masala yenye unga wa mbegu ya parachihi huhakikisha unakukinga na magonjwa na kuuponya mwili wako

01/01/2024
30/12/2023

Unga wa mbegu ya parachihi una faida kubwa sana kwa mama K kwa sababu una vitamin E, potassium, Omega 3fatty acid na Folic acid ambavyo husaidia ukuaji mzuri wa mtoto aliyeko tumboni k**a kuimarisha mifupa, kuzuia mgongo wazi, ukuaji mzuri wa ubongo na hata mama mwenyewe.

30/12/2023

Faida za kutumia chai yenye mchanganyiko wa mbegu ya parachichi

29/12/2023

Kuna faida kubwa mama K kuja tuna la parachichi wakati wa ujauzito. Lakini ukumbuke ni 30% tu huliwa hivyo 70% huikosa. Emmy-redy products tumekurahisishia kukutengenezea tea masala na unga wa mbegu ya parachichi ambao hukupatia full package ya 70%

25/12/2023

Emmy-redy products

24/12/2023

Merry Christmas and Happy New year 2024.

22/12/2023

Najua unajua ila ninakukumbusha tu

Unapokula tunda la parachichi unapata 30% ya virutubisho lakini 70% ya virutubisho vipo kwenye mbegu ya parachihi.

Kwa kuzingatia umuhimu wa virutubisho hivyo Emmy-redy products tumekuandalia unga wa mbegu ya parachihi kuhakikisha unapata Ile 70% unayoikosa.

Unaweza ukauliza kwa nini uipate hii 70% ni
1. Hukusaidia kuondoa sumu mwilini
2. Kuupa mwili nguvu
3. Ukuaji mzuri wa ngozi na nywele
4. Ukuaji mzuri wa ubongo
5. Huweka Sawa presha, sukari na mfumo wa mwili kwa ujumla
7. Hupambanana na magonjwa ya manjano
8. Hupambana na magonjwa ya moyo na Hali ya kupata stroke
9. Huondoa gesi tumboni na vidonda vya tumbo
10. Husaidia mmeng"enyo wa chakula tumboni
11. Husaidia kuondoa vimelea vya saratani
12. HUIMQRISHA MFUMO WA UZAZJ

JUST CALL/SMS 0753072862

19/12/2023

Wide range of our products. Hakikisha hauvikosi jikoni kwako.
ya chakula ipo kwenye matumizi sahihi ya viungo vyenye ubora.
vinakuwa pure na visivyoongezewa kemikali au ladha nyingine yoyote.

Emmy-redy products tunakuandalia pure spices na vyenye kunukia sana vilivyoandalia katika usafi na ubora wa Hali ya juu.

Always unapohitaji viungo just call/sms us kwa 0753 072862/0692 961255

19/12/2023

Binzari nyembamba (cumin) na manjano (turmeric).

Binzari nyembamba husaidia mambo mengi mwilini ikiwemo
1. Kupunguza uzito
2. Hulinda afya ya ubongo
3. Huondoa gesi tumboni
4. Hutuliza maumivu ya misuli
Etc
Etc

Hutumika kwenye mapishi k**a supu, pilau, mkate, mchuzi, nyama choma, samaki, etc

Kujipatia yako just call/sms 0753072862

Want your business to be the top-listed Business in Mpanda?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Kawajense
Mpanda