MaunyaJr

MaunyaJr

Share

#Ungana nami

MIAKA 20 TANGU PRINCESS DIANA AZIKWE, DUNIA BADO INAMKUMBUKA 06/09/2017

MIAKA 20 TANGU PRINCESS DIANA AZIKWE, DUNIA BADO INAMKUMBUKA Princess Diana enzi za uhai wake. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Mahali alipozikwa....

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA FAO, AAGANA NA BALOZI WA CHINA AONANA NA MZEE BUTIKU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO 06/09/2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA FAO, AAGANA NA BALOZI WA CHINA AONANA NA MZEE BUTIKU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo ...

JE UNGEKUWA NDIO BABA MWENYE NYUMBA UNGEMFANYA NINI HUYU MWIZI? 05/09/2017

http://ermatheboy.blogspot.com/2017/09/je-ungekuwa-ndio-baba-mwenye-nyumba.html

JE UNGEKUWA NDIO BABA MWENYE NYUMBA UNGEMFANYA NINI HUYU MWIZI? Mwizi aliingia kwenye nyumba ya familia moja kwa ajili ya kuiba. Akiwa ndani mara akasikia nyayo za mtu akija, mwizi akaamua kujificha chin...

Photos from MaunyaJr's post 03/03/2016

Ni kwa mara ya kwanza kukanyaga mkoa huu uliojaliwa kuwa na mlima mrefu Africa na wa pili duniani kote ila nimesh*tushwa na hali ya theluji kupungua kiasi hiki nadhani baada ya miaka mitano (5) mpaka kumi (10) hakutakuwa na ile theluji tena ambayo inaupamba mlima wetu juhudi za kunusuru hii hali inatakiwa kuchukuliwa haraka la sivyo utapoteza uzuri wake....

Duniani kuna vituko vya kila aina ebu msikie huyu | MaunyaJr 21/02/2015

Duniani kuna vituko vya kila aina ebu msikie huyu | MaunyaJr Wakati watu tukitumia manukato ‘air freshner ‘ kwa ajili ya kupulizia nyumba zetu ili zinukie lakini kuna wengine hutumia kwa matumizi mengine ambayo kwa kawaida yanaweza kukushangaza hata wewe. Evelyne mwenye miaka 27 raia wa Missouri, Marekani , amekiri kuwa yeye hupendelea kunywa mvuke wa air fre…

Photos from MaunyaJr's post 21/02/2015

Mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, yaani
albino, ni ukatili usio na mfano. Serikali haipaswi
kuwa na huruma katika kuwasaka na kuwaadhibu
wanaofanya vitendo hivi. Ni muhimu pia kuweka
utaratibu wa kuwalinda wenye ulemavu wa ngozi dhidi
ya tishio la kutekwa na kuuwawa. Elimu kwa umma ni
muhimu. Wanaofanya haya matendo wapo ndani ya
jamii yetu. Tuweke utaratibu wa malipo kwa
wasamaria wema wanaotoa habari kuhusu wahusika wa
biashara ya viungo vya binadamu. Na tuweke
utaratibu wa kuwalinda watoa habari hizi. Hili ni
tatizo la kisheria lakini pia ni tatizo la imani za
ushirikina na uchawi ndani ya jamii. Ni lazima
kuyakabili mambo haya mawili kwa pamoja.

Want your business to be the top-listed Media Company in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Moshi
90292