Hotel Field Practical Agent

Hotel Field Practical Agent

Share

Mafunzo na kaz

30/08/2024

Habari njema watanzania.
Hotel field practical agent wanatangaza nafasi za field Kwa wahitimu wa magunzo ya hotel vitengo vyote.
.Food &beverage service
.Hotel house keeping
.Food production
.Front office&Reception
Karibu ujiunge Sasa ..gharama ni nafuu mno
Mawasiliano +255653824544/+255757248883

22/08/2024
20/08/2024

Nafasi ya kazi za sector za hotel
1. Mpishi wa k**e 1
2. wahudumu wa k**e 3
3 . mhudumu wa kiume1
Mwisho wa maombi 23/8/24
Piga no 0757248883
Vigezo
Uwe na uzoefu wa kazi za hotel
Uwe una jua kusoma na kuandika
Mwenye afya imara, mwaminifu na mchapakazi
Uwe na mdhamini
Uwe na ada ya wakala kiasi utaelezwa baada ya kupiga simu
Wahi Sasa

03/07/2023

.Hotel field practical agent.....................................................
Tunapenda kutangaza nafasi za mafunzo ya vitendo kwa wahitimu wa kozi zifuatazo.
management.
# tour guide
# tour operator.
# Air line Management
# Nursery teachers. Nk
Pia tuna nafasi za kazi chache za hotel.katika vitengo k**a
Food and beverage service.
Food production.
Karibu sana.
Kwa mawasiliano ..piga +255757248883/ +255653824544.

Photos from Hotel Field Practical Agent's post 03/12/2022
08/01/2022

Heri ya mwaka mpya ..hotel field practical agent..,sasa wanatangaza nafasi za kazi kwenye fan ya hotel,,pamoja na lounge zenye hadhi ya kimataifa ...gharama zetu ni nafuu mno wasiliana Nasi kupitia no +255757248883/+255653824544 au barua pepe makelemo1988@gmail .com ,wahi sasa kwani nafasi ni chache

22/08/2021

Wakala wa wanafunzi wa field za hotel anapenda kuwatangazia wahitimu wote wa fan ya hotel kuwa nafasi za mafunzo ya vitendo zipo ...kupitia Hotel Field Practical Agent ..kanda ya kasikazini, moshi, Arusha, na tanga, mawasiliano 0653824544/0757248883

25/04/2020

Kazi,, zinaendelea.. Hotel Field Practical Agent,, ninanafasi chache Za mafunzo ya Vitendo kwa wahitimu Fani ya hotel management kwa secta zote,, na pia kwa wale wanaohitaji mafunzo(training) Za muda mfupi kwa Ajili ya kujiajili au kuajiliwa pia Nafasi zipo...,, kwa utaratibu Maalumu...wahi Sasa Nafasi ni chache Wasiliana nasi Kupitia no +255757248883

25/04/2020

Habari ,,je unandoto ya kujiajili au kuajiliwa,, Hotel Field Practical Agent ,,wanatimiza ndoto yako kwa kukupatia mafunzo ya Vitendo na Nazaria ya muda Mrefu na mfupi Kupitia darasa huru kwa Kipindi hiki cha Mpito...jifunze mapishi,, uhudumu hotelini,, mapokezi,, Mapambo na mwingne vingi...,, gharama ni Nafuu Sana. Wasiliana nasi Kupitia +255757248883 /+255653824544 ,au barua Pepe [email protected]

Photos from Hotel Field Practical Agent's post 25/02/2020

New opportunities,, through Hotel Field Practical Agent..some of hotels in Kilimanjaro,, searching for professional person on position of bartender(ladies) ,General supervisor with ability in English speaking,, computer skills.. ,,interviews on 28February 2020 and 1march 2020,, call +2557248883/+255753824545.

12/02/2020

Unakiu ya kujua namna Nzur ya utoaji wa huduma ya chakula Na vinywaji hotelin? Njoo Hotel Field Practical Agent,,tunakata Kiu yako kwa Gharama Nafuu mno..wengi wanafulahia huduma Zetu wewe unasubir nini...

Want your hotel to be the top-listed Hotel in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


P. O. Box 129 Moshi
Moshi
8899