Daniel Wamarwa
HR and leadership enthusiast
Public & motivational speaker. Content creator. Founder & owner Tanzanite Trekking & Safaris
Unapopulizia perfume, unataka iwe inasikika, inakaa, na inaacha alama! 😍
Tambua nguvu ya projection, silage & longevity kabla hujanunua harufu yako ijayo! 💥
💧 Perfume yenye ubora — harufu inayokutambulisha kabla hujafika.
🚚 Tunafanya delivery mikoa yote! Usibaki nyuma kwenye game ya harufu 💨
Pale unaposifiwa kwa kazi ambayo hujafanya 😃
Vifaa vyote vya kieletroniki vya majumbani wacheki Izack Enterprises
😃 😃
Kwa home appliances zote za kishua za bei nafuu karibu Izack Enterprises
Wewe mara nyingi unatoa kauli gani ya mwisho kabla ya kununua bidhaa? 😊 Achia comment hapo chini 😊
Izack Enterprises
Funny moments at Kili-Marathoni leo 🔥
Traffic wa Mchongo Dodoma 😃
03/12/2024
Kitakachofanya maisha yako yawe na maana na usichoke ni MAONO. Maono ndiyo yatakufanya usikate tamaa hata k**a una kila sababu ya kufanya hivyo.
Maono yanaweza kukufanya uifurahie kesho yako hata k**a leo huna uhakika wa mlo wako. Maono yanaweza kukufanya uifurahie biashara ambayo wengine wanaona haina faida.
Watu wenye maono huwa hawasubiri kushangaliwa au kutiwa moyo. Watu wenye maono huwa wana hamasa na furaha isiyo ya kawaida. Maono yanakuonesha hata k**a leo huna uhakika wa kula chakula lakini bado kuna kesho.
Ukipita katika nyakati zozote maishani kumbuka maono yako. Usikubali kuwa mzururaji hapa duniani.
24/10/2024
McWamarwa
WamarwaEvents 🎤
23/10/2024
Mwenyekiti UVCCM mstaafu na mwenyekiti wa sasa Cde **a.
Jana nilipotembelea viunga vya .
29/09/2024
Bila Neema ya Kristo mimi si kitu.
27/09/2024
Kazi ya jua ni kuangaza. Jua halibagui kuangaza kwenye kijiji hata k**a ni kidogo sana au kinapatikana sehemu ambayo inadharaulika kwa macho ya kibinadamu. Wakati wa jua kuangaza ukifika halibagui.
Ndivyo Mungu wa mbinguni alivyo, hata k**a unatokea wapi au watu wanasema nini juu yako na wamekukatia tamaa kiasi gani, kazi ya Mungu ni kubariki watoto wake pale muda unapofika wa kufanya hivyo.
Uvumilivu ni mgumu sana hasa pale ambapo hata njia haionekani na kelele za binadamu ni nyingi sana. Lakini wakati wa jua la Mungu ukifika jua linaangaza. Na haliwezi kuangaza k**a utakata tamaa mapema na kuhisi Mungu amekusahau.
Leo ngumu ni sababu na motisha ya kuitafuta kesho njema.
Neema ya Mungu ni kuu sana 🙏.
.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Danielwamarwa9@gmail. Com
Moshi