IFAC
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IFAC, Shopping & retail, Moshi.
IFAC FOOD PRODUCTION*;-Tunajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa unga lishe maalum wenye virutubisho vinavyopambana na presha,sukari,kupunguza unene uliopitiliza na ni mzuri kwa watu wote ili kujikinga na magonjwa mbalimbali.
29/09/2025
29/09/2025
Unga wetu kutoka IFAC unaweza kula ugali hata usiku bila hofu ya kitambi!
Kwa maelezo zaidi📞0767 200889
29/09/2025
✨️Maarifa na mikono ni yetu wanadamu,lakini uponyaji ni wa Mungu✨️
22/09/2025
IFAC Food Production tunakuletea tiba lishe kwa wenye changamoto za presha,kisukari,ganzi mwilini,miguu kuwaka moto!karibu tukuhudumie!kwa maelezo zaidi 📞0767 200889
09/09/2025
Maalumu kwa wenye changamoto ya presha,kisukari,mwili kufa ganzi, miguu kuwaka moto...sisi tunatengeneza kwa mikono ya binadamu,Mungu ndiye mponyaji 🙏
05/09/2025
Ratiba maalumu kwa wenye changamoto ya presha na kisukari.
02/09/2025
Ratiba hii ni special kwa wenye changamoto ya presha,kisukari mwili kufa ganzi,miguu kuwaka moto,pia wanaohitaji kupungua uzito.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Moshi