Meiday Farm

Meiday Farm

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Meiday Farm, Public Figure, Masama Mashariki, Moshi.

26/10/2025

Shambani kwetu Kuna mgeni. Maziwa ni mengi sana

20/10/2025

Heavy duty jiko la oil chafu changamkieni ofa
Mzigo ni imara sana
Yapo machache weka oda nikufanyie kazi
0714395797

27/09/2025

Ufugaji una changamoto nyingi sana.
Bahati mbaya hua hatuelezwi kuhusu changamoto zake na hua tunahamasika katika kutazama matunda bila kujua lazima zitatokea zama za vikwazo katika Ufugaji.

Wale tunaowaita motivation speaker hawawezi kukuambia au kukufundisha kuhusu vikwazo katika Ufugaji mana hutowaunga mkono.

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza Ufugaji wowote ni kua na elimu sahihi na uzoefu kabla ya kuingiza bidhaa shambani.
Onana na wataalamu na wazoefu katika sekta ya Ufugaji ili wakupe muongozo na usimamizi.

Usiogope kutumia gharama haswa unapoazimia kuwekeza katika kilimo na Ufugaji kwani ubahili utakufanya ulipe gharama kubwa sana.

Huyu ndugu yetu ameingiza vifaranga wengi sana shambani ambapo wamekufa ndani ya siku moja wote

Je huyu atarudi Tena na kuinuka upya katika Ufugaji?

Passion
Passion
Passion

Lazima uwe na passion katika Ufugaji na kilimo ili uweze kusimama imara pale utapokutana na heka heka k**a hizi.

Unaweza kua na mtaji na pesa za kutosha lkn hujui ufanye nini....
Ungana nasi Meiday Farm tukupe mpango wa uwekezaji katika kilimo na Ufugaji , tutakupa huduma ya usimamizi wa mpango wako wa kilimo na Ufugaji, hutojutia kufanya kazi na sisi

Karibu uungane na familia ya Wawekezaji Matajiri

Photos from Meiday Farm's post 26/09/2025

Matunda ya ukweli
0714395797
Kokote nchini tunafika

25/09/2025

We deal with

25/09/2025

Bata bwana.....

25/09/2025

Vitu tunapendaga, ..
Tunayo ndoto kubwa ya kulishika na kuungana na wafugaji wakubwa katika nchi hii

0714395797
Farmlife

Photos from Meiday Farm's post 25/09/2025

Ng’ombe wa kisasa wa maziwa ni wale wanaofugwa kwa teknolojia na mbinu za kisasa ili kuongeza uzalishaji wa maziwa kwa wingi na kwa ubora bora. Ufugaji huu unaangalia aina ya ng’ombe, lishe bora, afya, na mazingira mazuri ya ufugaji.

Sifa za ng’ombe wa kisasa wa maziwa

1. Aina za kisasa (breeds) zenye maziwa mengi:

Friesian (Holstein Friesian): Wana rangi nyeusi na nyeupe, huzalisha maziwa mengi zaidi (zaidi ya lita 25–40 kwa siku kwa matunzo bora).

Jersey: Wadogo kwa umbo lakini maziwa yao yana kiwango kikubwa cha mafuta (cream).

Ayrshire: Wana rangi nyekundu na nyeupe, wanazalisha maziwa yenye ubora mzuri.

Guernsey na Brown Swiss: Pia maarufu kwa maziwa yenye mafuta na protini nyingi.

2. Uzalishaji wa juu:
Ng’ombe wa kisasa wa maziwa wana uwezo wa kutoa maziwa mara nyingi zaidi ya ng’ombe wa kienyeji, endapo watatunzwa vizuri.

3. Lishe bora:
Wanahitaji malisho yenye virutubisho kamili k**a nyasi zilizoandaliwa (hay, silage), chakula cha ziada (dairy meal, pumba, mahindi yaliyosagwa), pamoja na madini (minerals na salt licks).

4. Matunzo ya afya:

Kupatiwa chanjo na dawa za minyoo mara kwa mara.

Ukaguzi wa afya wa kila mara ili kuzuia magonjwa k**a mastitis.

5. Mazao mengine:
Mbali na maziwa, wanatoa samadi bora kwa ajili ya mbolea na biogas.

Faida za kufuga ng’ombe wa kisasa wa maziwa

Uzalishaji mkubwa wa maziwa kwa kipato kikubwa.

Ubora wa maziwa bora kwa viwanda na matumizi ya nyumbani.

Chanzo cha ajira na uchumi.

Changamoto

Gharama kubwa ya kununua na kutunza.

Mahitaji makubwa ya chakula na maji.

Magonjwa ya mara kwa mara yanayohitaji uangalizi wa karibu.

Karibu Meiday Farm tukupe kilicho bora zaidi..
Tunao mpango kabambe tunauandaa kwa ajili Yako mfugaji usikae mbali nasi 0714395797

Photos from Meiday Farm's post 21/09/2025

Mapapai ya kisasa ni mbegu au aina za papai ambazo zimeboreshwa ili kutoa mazao mengi, kuwa na matunda makubwa na yenye ladha nzuri, pamoja na kustahimili magonjwa na changamoto za mazingira.

🔑 Sifa kuu za mapapai ya kisasa

1. 🌱 Huchanua na kuzaa mapema – baadhi huchukua miezi 7–9 tu kuanza kutoa matunda.

2. 🍈 Matunda makubwa na yenye ladha nzuri – nyama laini, yenye sukari na harufu ya kuvutia.

3. 💧 Huvumilia ukame na mazingira tofauti – kulingana na aina.

4. 🦠 Uimara dhidi ya magonjwa – k**a madoa ya majani, kuoza mizizi au ugonjwa wa virus.

5. 📦 Hudumu muda mrefu baada ya kuvunwa – yanafaa zaidi kwa biashara na soko la nje.

🔹 Mifano ya aina maarufu za mapapai ya kisasa

Red Lady F1 – hukua haraka, hutoa matunda makubwa yenye nyama nyekundu.

Sunrise Solo – matunda madogo hadi ya kati, yana ladha tamu sana.

Tainung No. 1 & No. 2 – aina za kisasa kutoka Taiwan, zinazojulikana kwa uzalishaji mkubwa.

Hybrid F1 varieties – zilizoboreshwa kwa ajili ya biashara kubwa.

⚒️ Faida za kulima mapapai ya kisasa

Mazao mengi kwa muda mfupi.

Bei nzuri sokoni kwa sababu ya mwonekano na ladha.

Yanafaa kwa kilimo cha biashara na pia bustani za nyumbani.

Wasiliana nasi kwa 0714395797 tukupe elimu kuhusu kilimo hiki chenye faida

Photos from Meiday Farm's post 19/09/2025

𝗨𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗜𝗟𝗘 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗭𝗔𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔 𝗠𝗜𝗘𝗭𝗜, 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔, 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗪𝗜𝗟𝗜 𝗛𝗔𝗗𝗜 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝟭𝟱(Nauli ni juu ya mteja) 𝗣𝗢𝗣𝗢𝗧𝗘 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝗛𝗜𝗜 𝗡𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗞𝗔𝗕𝗜𝗦𝗔 𝗜𝗠𝗘𝗔𝗡𝗗𝗔𝗟𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗖𝗛𝗨𝗢 𝗞𝗜𝗞𝗨𝗨 𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢 𝗦𝗨𝗔 𝗠𝗢𝗥𝗢𝗚𝗢𝗥𝗢:-

MICHE ILIYOPO NI

𝟭. 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗘𝗠𝗕𝗘
Aina zake👇
✅️red -indian=
✅️Tommy Atkins=
✅️Tanga
✅️Palmer=
✅️Boribo=
✅️Apple mango
✅️Dodo
✅️Kent=
✅️Keith
✅️Alphonso

𝟮. 𝗢𝗧𝗛𝗘𝗥𝗦
✅️Chenza
✅️Ndimu
✅️Limao
✅️Chungwa
✅️Strawberry,
✅️Pera za kisasa
✅️Komamanga
✅️Passion
✅️stafel,
✅️topetope,
✅️fenesi,
✅️Pomelo
✅️Mbilimbi za juice
✅️star fruit
✅️ Papai za kisasa
✅️Chikichi aina ya Tenera
✅️Zabibu
✅️Karambola (star fruit
✅️tini(fig fruit)
✅️kiwifruit
✅️dragon fruits
✅️Shokishoki
✅️Dolian=
✅️gooseberry
✅️Mulberry
✅️Blackberry
✅️Blueberry=
✅️korosho za kisasa
✅️Nazi za muda mfupi
✅️kienyeji
✅️Tende
✅️Giant passion
✅️Apple za Africa Kusini
✅️korosho za kisasa
✅️Parachichi Hass🥑
✅️parachichi za burundi
✅️Zaituni
✅️peas
✅️plums
✅️Peaches
✅️Macadamia nuts
✅️Madalance
✅️Barungi
✅️Tofaa
✅️Mchikichi
✅️Shelisheli

𝟯. 𝗠𝗜𝗚𝗢𝗠𝗕𝗔
AINA ZA MIGOMBA
✅️Mzuzu
✅️Mshale
✅️Malindi
✅️Kisukari
✅️Mkono wa tembo
✅️Fhia
✅️William
✅️Bukoba
✅️Uganda
✅️mtwike

𝟰. 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗨𝗡𝗚𝗢
✅️Germany tea
✅️Meant sauce
✅️Rosemary
✅️Cocoa
✅️Mint=
✅️Mdalasini
✅️Ukwaju
✅️Hina=
✅️Iliki
✅️karafuu
✅️Calendula
✅️Lavender
✅️Yarrow
✅️Sweet thyme
✅️Catnip
✅️Greak oregano
✅️Chocolate mint
✅️Spearmint
✅️Applemint
✅️Marjoram
✅Lemon verbena
✅Sage=

𝟱. 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝗬𝗔 𝗠𝗕𝗔𝗢
-✅️Mitiki
-✅️ Mikongo
-✅️Mkangazi
-✅️️ Mkatatusi
-✅️Gliveria
-✅️Msedelela
-✅️mvule

𝟲. 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗩𝗨𝗟𝗜
-✅️Midodoma,
-✅️Mwavuli=
-✅️Miashoki ,
-✅️Mharadali
-✅️Kodia=

𝟳. 𝗠𝗔𝗨𝗔
✅️Royal palm-
✅️Madagascar palm
✅️Bismarck palm-
✅️Golden palm -
✅️Tanga palm-
✅️Finger palm -
✅️Alexandria palm -
✅️Sago/American palm
✅️Musaenda -
✅️Rose -
✅️Boganvilea-
✅️Jesus flower -
✅️Poinsettia -
✅️Eraucaria -
✅️Paris Xmas-
✅️Plumeria-

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Masama Mashariki
Moshi