Gappa Tech

Gappa Tech

Share

Information Technology Company
We solve IT problems to our clients
Since 2019 with 1000+ clients testimonials.

Visit our website to learn more about us
https://www.gappa.tech

11/06/2026

πŸš—πŸ“ USIPOTEZE GARI LAKO KWA KUTEGEMEA BAHATI!

Je, unajua gari, bajaji au pikipiki yako ipo wapi muda huu? πŸ€”
Kwa huduma ya GPS Tracking System Installation kutoka GappaTech, unaweza: βœ… Kufuatilia chombo chako muda wowote

βœ… Kujua historia ya safari

βœ… Kuongeza usalama dhidi ya wizi

βœ… Kusimamia biashara yako kwa ufanisi zaidi

🚘 Tunafunga GPS kwenye:
β€’ Magari

β€’ Bajaji

β€’ Pikipiki

πŸ“ Tunapatikana: Moshi Mjini, Kilimanjaro
πŸ“ž Wasiliana nasi: +255 686 2386 00

GappaTech – Ishi Kidigitali. πŸ’™πŸ§‘

21/05/2026

Je, una biashara, taasisi au huduma lakini huna tovuti?
Au unataka kuboresha uwepo wako mtandaoni na kuwafikia wateja wengi zaidi?

Tunakusaidia kuunda tovuti za kisasa, za haraka na zinazovutia wateja, zilizotengenezwa kwa kuzingatia ubora, muonekano wa kitaalamu na uzoefu bora wa mtumiaji.

πŸ’‘ Tunachokutengenezea:
βœ” Tovuti za biashara (Business Websites)
βœ” Tovuti za kampuni na taasisi
βœ” Tovuti za huduma binafsi
βœ” Landing pages za matangazo
βœ” Tovuti zinazofanya kazi vizuri kwenye simu (Mobile Friendly)

πŸš€ Faida za kuwa na tovuti:

Kuongeza wateja na mauzo
Kuimarisha uaminifu wa biashara yako
Kuonekana kitaalamu zaidi sokoni
Kupatikana 24/7 mtandaoni

⚑ Tunazingatia:
βœ” Ubunifu wa kisasa (Modern Design)
βœ” Kasi ya tovuti (Fast Loading)
βœ” Usalama wa hali ya juu
βœ” SEO friendly ili uonekane Google

πŸ“ž Wasiliana nasi leo uanze safari ya kuipeleka biashara yako kidijitali.

0686 238 600

21/05/2026

Je, internet yako inasumbua?
Office au biashara yako ina mtandao hafifu, unaokatika mara kwa mara, au usiofika maeneo yote?

Tunatoa huduma za kitaalamu za Networking na Internet kwa nyumba, ofisi, biashara, shule, na taasisi mbalimbali hapa Tanzania.

βœ… Ufungaji wa Router na WiFi
βœ… Kuongeza Speed na Ubora wa Internet
βœ… Usambazaji wa Internet Ofisini au Nyumbani
βœ… Ufungaji wa Network kwa CCTV, Printer na Computer
βœ… Kutatua Matatizo ya Mtandao
βœ… Kuimarisha Coverage ya WiFi
βœ… Network Setup kwa Biashara na Kampuni

Tunazingatia:
βœ”οΈ Kazi safi na ya kitaalamu
βœ”οΈ Ufundi wa kisasa
βœ”οΈ Huduma ya haraka
βœ”οΈ Bei rafiki

Mtandao bora huongeza kasi ya kazi, mawasiliano, na ufanisi wa biashara yako.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo upate huduma ya uhakika.
0686 238 600

21/05/2026

πŸ’» Je, computer au printer yako imekuwa slow, inagoma kuwaka au kutoa print zenye matatizo?

Tunatoa huduma bora za matengenezo ya Computer na Printer kwa uhakika, haraka na viwango vya kitaalamu.

Huduma zetu zinajumuisha:
βœ… Matengenezo ya laptop na desktop
βœ… Repair za printer za aina mbalimbali
βœ… Ufungaji wa software na Windows
βœ… Kuondoa virus na kuongeza speed ya computer
βœ… Kubadilisha vipuri halisi na vya ubora
βœ… Maintenance kwa nyumba, ofisi na biashara

Tunasaidia kuhakikisha vifaa vyako vinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili biashara na kazi zako zisiingiliwe.

πŸ“ Tunapatikana Moshi Mjini
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0686 2386 00

GappaTech β€” Ishi Kidigitali.

21/05/2026

πŸ”’ Linda nyumba, biashara au ofisi yako kwa mfumo wa kisasa wa CCTV Camera.

Tunatoa huduma bora ya ufungaji wa CCTV Camera kwa matumizi ya:
🏠 Nyumbani
🏒 Ofisini
🏬 Madukani
🏭 Kwenye biashara na maghala

Unapata:
βœ… Ulinzi dhidi ya wizi na uharibifu
βœ… Ufuatiliaji wa moja kwa moja kupitia simu yako
βœ… Urekodi wa masaa 24/7
βœ… Picha zenye ubora wa hali ya juu
βœ… Mfumo salama na wa kisasa kwa usimamizi wa mali zako

Tunatumia teknolojia za kisasa kuhakikisha usalama wa eneo lako muda wote, ukiwa nyumbani au mbali.

πŸ“ Tunapatikana Moshi Mjini
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0686 2386 00

GappaTech β€” Ishi Kidigitali.

21/05/2026

πŸš— Linda gari au pikipiki yako kwa teknolojia ya kisasa ya GPS Tracking.

Pata huduma premium ya ufungaji wa GPS inayokupa:
βœ… Ufuatiliaji wa moja kwa moja (Live Tracking)
βœ… Ulinzi dhidi ya wizi
βœ… Mfumo wa kufuatilia masaa 24/7
βœ… Usimamizi rahisi kupitia simu yako

Tunafunga GPS za kisasa kwa:
🚘 Magari
🏍️ Pikipiki
🚚 Biashara na fleet management

Tunapatikana Moshi Mjini.
πŸ“ž Piga sasa: 0686 2386 00

GappaTech β€” Ishi Kidigitali.

12/05/2026

πŸš€ UNATAFUTA WEB HOSTING YA UHAKIKA TANZANIA?

GAPPATECH Tanzania tunatoa huduma za kisasa za Web Hosting kwa biashara, taasisi na website binafsi kwa gharama nafuu na huduma ya kitaalamu.

πŸ”₯ Kwa TSH 200,000 tu kwa mwaka unapata:

βœ… Web Hosting ya mwaka mzima
βœ… Domain Name ya mwaka mzima
βœ… Professional Email 1 ya mwaka mzima
βœ… SSL Security kwa usalama wa website
βœ… Uptime ya uhakika
βœ… Support ya kitaalamu

πŸ’‘ Hakuna gharama zilizofichwa.
πŸ’‘ Renewal ni bei ile ile.
πŸ’‘ Hakuna ongezeko lolote litakalotokea.

Website yako inahitaji:
βœ” Kasi
βœ” Usalama
βœ” Uhakika
βœ” Hosting yenye support bora

Na sisi tupo tayari kukusaidia kuanzia mwanzo mpaka website yako iwe online kikamilifu.

πŸ“ž CALL US NOW:
☎ 0686 238 600
☎ 0626 234 794

🌐 GAPPATECH Tanzania
Suluhisho za kisasa za Teknolojia na Web Design Tanzania.

10/04/2026

GappaTech, tunapatikana Moshi Mjini, Kilimanjaro Tanzania.

Tunatoa huduma zifuatazo.

1. Kutengeneza Websites za aina zote

2. Networking na Internet Kwa level zote

3. Smart Security Systems k**a vile CCTV CAMERAS, Electric fence, Biometrics time and attendance systems, alarm systems nk.

☎️ 0686 2386 00

Karibuni sana.

GappaTech
smart technology solutions

24/03/2026

Yali Network.

Ingia google au kwenye browser yoyote ya simu au computer yako.

Andika neno Yali Network.

Jisajili

Kisha jifunze course mbalimbali ambazo zinaweza kua na msaada kwenye maisha na carrier yako.

Ukimaliza course, Kuna certificate utapata. Hii itakusaidia kwenye resumes na matumizi mengine kulingana na mahitaji yako.

GappaTech tumekusudia kujifunza zaidi Ili kuboresha zaidi huduma zetu.

Imani yetu na kiu yetu ni kuweza kukupa huduma bora za IT Katika kiwango bora kabisa. Kiu kweli unastahili kilicho bora, na nia yetu ni hiyo tuu. Tukupatie kilichobora zaidi.

Karibu GappaTech Kwa huduma za It zikiwemo

βœ… Kutengeneza website ( tovuti)

βœ… Networking na Internet

βœ… Mifumo ya ulinzi na usalama k**a vile CCTV camera, electric fence, alarm system, Biometrics time and attendance, motor gate nk.

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Moshi Mjini
Moshi
25101

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 18:00