Mkulima Market
Mkulima Market ni fursa ya kuonesha na kuuza bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi
Vijana Mwanza Waishukuru Serikali na TADB kwa Msaada wa Zana na Mikopo ya Ufugaji Samaki\n\nVijana wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba katika Ziwa Victoria, jijini Mwanza, wameishukuru Serikali pamoja na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kuwapatia vitendea kazi na mikopo ya kuendeleza miradi yao.\n\nWamesema msaada huo umekuwa mkombozi mkubwa, kwani umewezesha vijana wengi kuanzisha na kuendesha shughuli za ufugaji samaki kwa ufanisi, hivyo kuongeza ajira na kipato kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza.\n\nKupitia mikopo na vifaa walivyopatiwa, vijana hao sasa wana uwezo wa kufuga samaki kwa kiwango kikubwa zaidi, jambo linalochangia kukuza uchumi wa kaya zao pamoja na kuinua sekta ya uvuvi nchini.\n
Kutoka kwa
>>Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa! Ni Mwezi Special Wa Wenye Mradi Wa Kuku Kufurahia.
Nb: Hii Ni TOFAUTI Kufuga Kuku Ni Kuishi Na Kuku Bali Mradi Wa Kuku Ni Kufanya Kwa Mikakati.
RASMI Kuku Anaanza Kujadiliwa NDANI Ya Bustani
Sasa… Una Machaguo Mawili!
Kubaki kuendelea Kujifunza Instagram Kila Siku…Lakini K**a Utataka Kupata Usaidizi Wa Karibu Pamoja na Mafunzo Ya Kina na Ya Haraka [Ili Uanzishe Mradi Wa Bustani Pamoja Na Kuku]
KATIKA Eneo Dogo Andika “Rich Home Garden” Kwenda 0761 825 808.
Je nini Faida ya Maziwa kwa Kuku??
🌿🇹🇿 MTOKO WA WAKULIMA 2025\n📍 6 Agosti – Dodoma
🌞 Mchana: Viwanja vya Nane Nane Mgeni Rasmi Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda
🌙 Usiku: Ukumbi wa Mabeyo
📺 LIVE kupitia Mchongo TV
Azam 019 | Startimes 134 | www.mchongotv.co.tznnWizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Kilimo Roundtable, Uchumi Institute na Mchongo Television wanakuletea tukio kubwa la fursa, maarifa na mitandao ya kweli katika kilimo, uvuvi na ufugaji.
🔥 Tunazima “hakuna ajira”
🔥 Tunawasha michongo halisi
🎫 TIKETI ZINAPATIKANA:
📍 Dar es Salaam:
Mbezi Beach Plaza – Kilimo Roundtable
Jagwani Plaza – Mchongo TV
Mikocheni B – Getstly
Millennium Tower Ghorofa ya 20 – Uchumi Institute
Maduka ya Vunja Bei – DSM
📍 Dodoma:
Nyerere Square – Kilimo Roundtable
Maduka ya Vunja Bei – Dodoma
📍 Mbeya: Uyole – Mwana wa Africa
📍 Songwe: Mlowo – Mwana wa Africa\n📍 Songea: Mjini – Mwana wa Africa
🛒 Nunua tiketi online hapa:
👉 https:kilimoroundtable.tukiio.com
event\/krta2025
📲 | | \n📞 +255 654 600 101\n\n
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. PHILIP MPANGO AZINDUA MAONESHO YA NANENANE DODOMA\n\nDodoma, Agosti 1, 2025 – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, leo ametembelea na kuzindua rasmi maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika jijini Dodoma.\n
Mafanikio katika kilimo kwa vijana kupitia
11/07/2025
KARIBU KUJISAJILI wa wa
11/07/2025
.movement
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Kilimanjaro
Moshi