Sports Planet.
ALL ABOUT SPORTSTAINMENT
JOIN US NOW ✅️
28/11/2024
Camara ni kipa mzuri ambae haitaji Kupewa sifa za Uongo k**a Diara, Kazi Yake inaongea..!!
27/11/2024
Wengi wameona kufungwa kwa YANGA ila wachache wameona kiwango, uwezo na ubora wa huyu chalii aliyezaliwa mwaka 2006 na sasa ndo kwanza ana miaka 18 tu. Huyu Adama Coulibaly msimu ujao inabidi aje SIMBA.
27/11/2024
Una Muacha Lomalisa unaleta injury Pro Max BOKA Huu ndio Uongozi Bora mliokuwa mnausifia??
Siombei na sio vizuri ila natamani humo kwenye kifusi ilibidi awemo hata mtoto mmoja wa mkubwa na awe hai, awe anapiga hizo simu na waandishi wa habari wamuulize "hali zenu zikoje"
Natamani ningeona zoezi la uokoaji lingekuwa kwa kasi ya aje, na natamani zaidi yeye ndio angekuwa wa mwisho kuokolewa....
Tunachukulia poa kwa sababu hakuna ndugu wa mkubwa yuko kwneye kifusi ndio maana wanaweza hata kutangaza "zoezi la uokoaji limestishwa et kwa sababu ya giza" seriously!!!??
Tunaambiwa kila siku nchi hii ni ya amani na upendo, upendo which? Kupeleka oxygen tu napo mpaka wameamrishwa na PM!!? Nchi ina unafiki sana hii...
Kwahyo wale jamaa wa uokoaji wanaokujaga na mavifaa ya uokoaji kwenye matamasha ya uhuru day uwa wanatudanganya tu pale??
So painful 💔 😢
16/11/2024
Yanga ambao ni Mabingwa watetezi wa Ligi matokeo yao katika ligi ya NBC msimu hii yapo hivi
Kagera Sugar 0-2 Yanga✅
KenGold 0-1 Yanga✅
Yanga 1-0 KMC✅
Yanga 4-0 Pamba✅
Simba 0-1 Yanga✅
Yanga 2-0 JKT Tanzania✅
Coastal Union 0-1 Yanga✅
Singida BS 0-1 Yanga✅
Yanga 0-1 Azam❌
Yanga 1-3 Tabora❌
Mechi - 10
Wamefungwa - 2
Wameshinda game - 8
Clean sheet - 8
Wameruhusu goli 4 tu
Yanga wapo nafasi ya pili wakiwa na points 24, nyuma ya Simba wakiwa wamezidiwa point 1 lakini misimu ya karibuni wamekua wakiwafunga mara kwa mara, na mchezo wa kwanza Simba alifungwa na Yanga so kimahesabu ngoma bado ni mbichi
Sipo hapa kumtetea Gamond au kupingana na maamuzi ya viongozi wa Yanga sababu nafahamu mpaka wanafanya haya maamuzi wao wanajua zaidi yangu ila kwa stats hizi za ndani ya uwanja nadhani kuna baadhi ya wapenzi na wanachama wa Yanga yatakua yamewaumiza na wataona k**a viongozi wao wamekua harsh
22/09/2024
K**a wewe ni Simba fans na Unashindwa kukubali kuwa Yanga now ni team bora, basi wewe ni shabiki Maandazi.
22/09/2024
Ukiitoa Al Ahly Kwasasa Yanga ndio team bora Africa.
21/09/2024
Hakuna kazi ngumu k**a kuwaombea utopolo leo kufungwa😂😂
21/09/2024
🔰Ndani ya vichwa vya wachezaji wa Yanga tayari wameshaona wana ukubwa katika michuano ya CAFCL. Ndio maana ukisikia wakiongea hawana wasiwasi. Kwa sasa wanaiwaza Mamelodi,Al Ahly na Esperance.
21/09/2024
Jamaa leo anatisha sana na Goal tatu..!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Uswaa Road
Moshi
20/11/2024