AfyaTech

AfyaTech

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AfyaTech, Medical and health, Bondeni, Moshi.

Tunakurudishia amani: Tunakusadia kuboresha afya yako kupitia teknolojia kwa kukuelimisha, kukusaidia kuchukua hatua sahihi kuwa mstari wa mbele kuboresha afya yako mwenyewe!

09/01/2026
05/01/2026

Dalili za mimba

19/07/2025

Upungufu wa Nguvu za Kiume: Jitathmini Mwenyewe Nyumbani

Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalowaathiri wanaume wengi duniani. Tatizo hili linaweza kuathiri mahusiano, afya ya akili, na hali ya kujiamini. Lakini je, unajua unaweza kujipima mwenyewe nyumbani kwa usiri bila kwenda hospitali?

Katika video hii, utajifunza:

Maana ya upungufu wa nguvu za kiume

Dalili na sababu kuu zinazochangia tatizo hili

Hatari ya kutumia dawa bila kujua chanzo

Namna ya kujitathmini kwa kutumia kipimo cha IIEF-5 (Sexual Health Inventory for Men)

Suluhisho la kuanza leo ili kurudisha uwezo na kujiamini: https://youtu.be/epG9RdHbZ4c

Pata app yako hapa:
πŸ‘‰ https://play.google.com/store/apps/details?id=com.afyaplan.afyaplans&pli=1

Hongera sana kwa kujali. Tuulize wakati wowote utakapohitaji ufahamu wa kitu chochote.

Mzunguko wa Hedhi AfyaPlan App 06/07/2025

🌸 Fahamu Mzunguko Wako kwa Usahihi – Kwa Afya Njema na Maamuzi Sahihi
K**a mwanamke, kuelewa mzunguko wako wa hedhi ni zaidi ya kupanga ujauzito. Ni hatua muhimu kuelekea afya bora ya uzazi na mwili kwa ujumla.

AfyaPlan App inakusaidia:
βœ… Kutunza kumbukumbu za siku zako kwa urahisi
βœ… Kukadiria siku za hatari na zinazofaa kwa ujauzito
βœ… Kupata tafsiri ya mabadiliko ya mzunguko wako
βœ… Kupokea ushauri kuhusu lishe, dalili na afya ya uzazi

πŸ“± Usiishi kwa kubahatisha. Fahamu mwili wako!
➑️ Pakua sasa AfyaPlan:
πŸ”— https://play.google.com/store/apps/details?id=com.afyaplan.afyaplans


https://youtube.com/shorts/vAufXJtArvg?si=2Lo4PhNvjRA2Q_DR

Mzunguko wa Hedhi AfyaPlan App 🌸 Fahamu mzunguko wako wa hedhi kwa usahihi!Badala ya kubahatisha, tumia AfyaPlan App kuandika tarehe zako, kukadiria siku za hatari, na kupata ushauri kuhu...

27/08/2024

*Mambo Muhimu ya Kufahamu Kuhusu Chakula cha Mgonjwa wa Kisukari*

1️⃣ Aina ya chakula unachokula kinaweza kuathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako. Vyakula vingine huongeza kiwango cha sukari kwenye damu haraka hivyo inabidi upunguze au uviepuke.

2️⃣ Vyakula vingine huongeza kiwango cha sukari kwenye damu yako taratibu, hivi inabidili uvile kwa uangalifu.

3️⃣ Kuna vyakula vinavyosaidia sukari kwenye damu yako kuwa katika kiwango kizuri.

Bonyeza link https://eu1.hubs.ly/H0bZL9R0 kwenye bio, Jifunze kuhusu kisukari: sababu, dalili, vyakula, madhara na tiba.

Jinsi ya Kufahamu Tarehe ya Kujifungua kwa Urahisi - AFYATech 05/07/2024

Kufahamu tarehe za kupata (siku hatari), tarehe za kujifungua, na kupanga lini ubebe mimba ili ujifungue majira unayohitaji yote yanawezekana.

AFYATech imekuletea kikokotoo kitakachokuwezesha yote haya!
Fahamu zaidi:

Jinsi ya Kufahamu Tarehe ya Kujifungua kwa Urahisi - AFYATech Makala inaeleza matumizi ya gestation wheel na kalenda ya ujauzito kufahamu tarehe ya kujifungua na kupanga maandalizi yake.

Panga uzazi tumia afyatech kalkuleta 05/07/2024

Kufahamu tarehe za kupata (siku hatari), tarehe za kujifungua, na kupanga lini ubebe mimba ili ujifungue majira unayohitaji yote yanawezekana.

AFYATech imekuletea kikokotoo kitakachokuwezesha yote haya!
Fahamu zaidi: https://afyatechtz.com/jinsi-ya-kufahamu-tarehe-ya-kujifungua-kwa-urahisi/

Panga uzazi tumia afyatech kalkuleta Je, unatafuta njia rahisi na ya kuaminika ya kupanga uzazi? Kufahamu tarehe zote muhimu za uzazi?Jinsi ya kufahamu Tarehe za kujifungua, Tarehe za hatari, ku...

Kisukari - AFYATech 01/07/2024

Je, umewahi kushiriki katika programu yoyote ya elimu kuhusu kisukari? Kujua zaidi kuhusu hali yako ya kiafya kunaweza kubadili maisha yako! 🌟

Wengine wanaweza kufikiri kuwa wanajua vya kutosha kuhusu kisukari na hawahitaji kushiriki katika programu hizi.

Lakini ukweli ni kwamba, maarifa na mbinu za kisasa kutoka kwa wataalamu wa afya ni muhimu sana katika kudhibiti kisukari. πŸ’‘

Jiunge na programu yetu ya elimu kuhusu kisukari na uanze safari yako ya kuelekea afya bora.

Pata maarifa sahihi na msaada unaohitaji ili kudhibiti kisukari kwa ufanisi zaidi. 🌿
πŸ‘‰ https://afyatechtz.com/kisukari/

Kisukari - AFYATech Utafahamu kisukari husababishwa na nini

Ishinde Presha - Kula Hivi: Kitabu cha Presha ya kupanda - AFYATech 07/06/2024

Ni rahisi kudhibiti presha kwa vyakula ila unahitaji maarifa mahususi.

Ndiyo maana, wagonjwa wengi, wanashindwa kudhibiti presha kwa kufuata tu ushauri wa kula vyakula fulani.

Hii ni kwa sababu kufahamu vyakula tu haitoshi; ni muhimu pia kufahamu aina, kiasi, na namna ya kuchanganya vyakula hivyo.

Kwa mfano unahitajika kupunguza vyakula vyenye viwango vikubwa vya sodiam huku ukiongeza vyakula vyenye viwango vikubwa vya Potashiam.

βœ… Dhibiti leo presha na kisukari. Tunakuwezesha kudhibiti presha na kisukari kwa weekend hii kwa kukupatia kitabu cha kisukari na presha kwa TSh. 49,000/=

βœ… Kitabu: Dhibiti presha - kula hivi ni TSh. 29,000/=

βœ… Kitabu: Dhibiti kisukari huku ukifurahia vyakula uvipendavyo - TSh. 29,900/=

🌹 Vitabu vyote viwili: TSh. 44,900/=

Anza sasa safari ya kudhibiti Presha na au Kisukari. Offer hii isikupite

https://afyatechtz.com/kitabu-cha-presha-ya-kupanda/

Tuandikie comment ukihitaji.

Ishinde Presha - Kula Hivi: Kitabu cha Presha ya kupanda - AFYATech Ishinde Presha: Kula Hivi Je, unatafuta njia bora ya kudhibiti shinikizo la damu? β€œIshinde Presha: Kula Hivi” ni kitabu chenye suluhisho! Maelezo ya Kitabu Ishinde Presha: Kula Hivi ni kitabu cha presha ya kupanda kinachokupa mwongozo wa kina kuhusu jinsi ya kudhibiti shinikizo la damu kwa kutum...

Presha ya Kushuka: Sababu na Matibabu 31/05/2024

Fahamu zaidi

Presha ya Kushuka: Sababu na Matibabu ya kushuka inaweza kusababisha madhara makubwa k**a vile kufeli kwa viungo muhimu vya mwili k**a , na , na hata kuganda kwa damu kw...

30/05/2024

Je, unajua Glycemic Index (GI) na Glycemic Load (GL)? Hivi ni vipimo muhimu kwa mgonjwa wa kisukari kwani vinaonyesha jinsi chakula chenye wanga kinavyoathiri viwango vya sukari kwenye damu.

πŸ“Š GI ni kipimo kinachoonyesha kasi ambayo chakula huongeza viwango vya sukari kwenye damu. Chakula chenye GI ya chini hutoa nishati polepole na husaidia kudhibiti sukari mwilini kwa muda mrefu.

πŸ“‰ GL ni kipimo kinachoonyesha kiasi cha wanga katika chakula pamoja na GI yake, hivyo ni kipimo thabiti zaidi cha athari ya wanga kwenye sukari ya damu.

Jifunze zaidi kuhusu jinsi ya kuchagua vyakula vya wanga kwa uangalifu: [Link ya blogpost]

🎯 Kwa kuchagua vyakula vyenye GI ya chini na GL ya wastani, unaweza kudhibiti sukari yako kwa ufanisi.

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: [Link ya blogpost]

Want your practice to be the top-listed Clinic in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Bondeni
Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00