Miss Chuu
Home decor
Hellow wateja wang tumefungua mzigo mpya wa slipper🔥✅...Size 36-40 ✅...Slipper ni nzur alf classic ...Rangi ni nyeupe t mikoani tunatuma kwa uwaminifu tunapatikan MOSHI ....Bei ni 13000 t ....Karibuni Mpendeze✅🥰...Watsap 0657344094
05/06/2024
Wateja wang wa mashuka tumefungua mashuka mapya🔥...Shuka zetu ni nzuri alf quality, haizpauki wala hazitoi vipele🔥🥰....Shuka zetu ni foronya nne Size 7*8 Bei 30000 jumla tunauza kwanzia pc 5🔥😋....Tunapitkan Moshi mjini mkoani tunatuma kwa gharama za mteja na kwa uwaminifu....
Watsap 0657344093
30/03/2023
Hellow watej wang tumefungua mzigo mpya shuka nzuri shuka mbili na foronya nne king size jumla na rejareja piah zipo
Pochi nzuri n zenye quality bei rahisi mnoo
Duvets zenye shuka zake na foronya zake karibuni😋😍🔥
30/03/2023
Mzigo mpya wa zulia zuri kubwa 3D 7/8
08/03/2023
Hellow wateja wang tumefungua mzigo mpya mashuka mazuri kingsize pure cotton shuka mbili foronya nne, duvets zenye shuka mbili na foronya mbili, zulia manyoa na 3D nzuri 7/8
08/03/2023
Habari wateja wang siku ya leo tumefungua mzigo mpya mashuka shuka mbili na foronya nne, Maduvets yenye shuka mbili na foronya mbili, carpets za manyoa 6/6, 3D nzuri 7/8 karibuniii mzigo n wamoto….
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Moshi