KUKUSHOP
We sell whole chicken in wholesale and retail plus cut-ups for affordable price.
Tembelea ujipatie choma sausages!
16/06/2026
Mapishi bora huanzia kwenye uchaguzi wa nyama unayoweka jikoni.
Breast Boneless ni chaguo linalokupa nafasi ya kuonyesha ubunifu wako kwenye kila pishi.
Tuambie kwenye komenti, ni mapishi gani unayopenda zaidi kutumia Breast Boneless?
02/06/2026
Sio kila kumbukumbu nzuri ya familia hutengenezwa kwenye safari au outing.
Nyingi hutengenezwa mezani, mkikaa pamoja, mkicheka na kufurahia chakula kizuri. Kwa sababu Hungarian Choma Sausages zimeandaliwa kuongeza ladha kwenye nyakati hizo muhimu, kwa sababu family moments zinastahili ladha ya kipekee.
Tembelea KukuShop yetu au supermarket iliyo karibu nawe ujipatie pakiti yako leo.
Kwa huduma ya haraka tupigie, +255 65 944 1599
25/05/2026
Mlo wako unakuwa wa tofauti zaidi ukikamilishwa na minofu ya kuku yenye ladha tamu na protini ya kutosha.
Jipatie leo paketi yako na uonje ubora wa kweli wa nyama ya kuku.
Kwa huduma ya haraka tupigie, +255 65 944 1599
25/02/2026
Minofu ya kuku ni miongoni mwa vyakula vyenye protini nyingi na mafuta kidogo sana.
Inapendekezwa sana kwa watu wanaozingatia afya ya mwili, kufanya mazoezi, au wanaotaka kula mlo wenye uwiano bora wa virutubisho kutumi Breast Boneless.
Zinapatikana kwenye Kukushop yetu
21/02/2026
Tembelea
13/02/2026
Ule msimu wa kuonyesha upendo kwa vitendo umefika, nasi tupo sambamba nawe kukufanikishia hilo na bidhaa zetu bora za nyama ya kuku na soseji.
Tembelea Kukushop yetu kujipatia bidhaa zetu msimu huu wa wapendanao.
Kwa mawasiliano zaidi 📞 +255 65 944 1599
13/02/2026
Tembelea sasa unipatie nyama HALAL, safi na bora ya kuku!
13/02/2026
Raha ya biryani ule siku ya Ijumaa🤩
Interchick tunahakikisha unapata nyama bora ya kuku na HALAL kwenye KukuShop yetu ili kuboresha mapishi yako.
Tembelea KukuShop yetu au Supermarket iliyopo karibu nawe ujipatie paketi yako leo kuanzia ujazo wa 1kg hadi 1.5kg.
📞 Kwa maelezo zaidi tupigie, +255 65 944 1599
11/02/2026
Karibu ujipatie Choma Sausages!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Aga Khan Rd, Rindi Lane Street
Moshi
7304
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 08:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 20:00 |
| Sunday | 09:00 - 18:00 |