OneSoul Collection

OneSoul Collection

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OneSoul Collection, Clothing (Brand), 3041, Moshi.

Photos from OneSoul Collection's post 12/09/2021

Hizni baadh ya nguo zinazopostiwa na kuagizwa uturuki karibun sana

Photos from OneSoul Collection's post 12/09/2021

Tunauza nguo za watoto kuanzia 0-14 miaka, karibun sana dukan kwetu Moshi mjini karibu na

ONESOULKIDS_OUTFITS - UTURUKI🤝🏼 27/08/2021

https://chat.whatsapp.com/GD3PUDxj4ciIRR61j1BxlU
Kuagiza nguo za watoto za uturuk bonyeza link!! Tunafunga mzgo kila jumatatu!! Karibun sana

ONESOULKIDS_OUTFITS - UTURUKI🤝🏼 WhatsApp Group Invite

27/08/2021

Karibun katika page yetu! Sisi ni wafanyabiasharaa na wajasiriamali ambao tumejikita k**a kuuza vtu vingi, lakn hasa hasa nguo za watoto na nguo za ndan! Pia tunaagiza nguo za watoto kutoka uturuki ambapo mzgo unafika siku 10-14!

Pia tunapokea order ya vtu mbalimbali na kuuza kwa bei ya jumla, hii ni kutokana tuna group letu la nguo za kiume za jumla!! Karibuni sana!! Na order binafsi tutakazopost!

Vtu vingi vinakuja katika page yetu, tunawakaribisha sanaaa!

Duka letu lipo moshi mjini karibu na Leopard hotel!! Na mizigo yote hupitia dukan, kuhakikiwa bila kuhakikiwa mzgo hautumwi!! Tushahakiki tunatuma kwa wateja wa mikoan na wa mosh hufata dukan!! Akitaka aletewe tunampa mtu wa usafiri anaongea nae kwenye simu na kumalizana nae!!

Tunawakaribisha wotee, lugha chafu na za matusi haziruhusiwi kwenye page, upendo na uaminifu ndio ngao yetu

12/08/2021

Karibuni katika page yetu ya onesoul collection, hii page ni page inahusisha bidhaa zetu tunazoziuza dukan na tunazoagiza!! Tuñaagiza nguo kutoka uturuki!! Tutakuwa tunapost bidhaa tulizonazo na za kuagiza karibun sana

22/07/2021

Karibuni, vitu vzur k**a hiv vya watoto vipo , location n karibu na Karibun sana

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


3041
Moshi
000

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:30
Tuesday 07:30 - 18:30
Wednesday 07:30 - 18:30
Thursday 07:30 - 18:30
Friday 07:30 - 18:30
Saturday 07:30 - 18:30
Sunday 09:30 - 15:30