Uzaziplus
Ukurasa huu, unahusika na utoaji wa habari na ufahamu kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu afya ya uzaz
28/01/2026
Subscribe
DALILI ZA UCHUNGU.
Uchungu ni hali ya mama mjamzito kujihisi anataka kujifungua ambayo huambatana na maumivu makali ya tumbo, hali hii inapoanza hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke. Uchungu unaweza kuanza muda wowote sehemu yoyote, pia unaweza kuanza kabla, wakati au baada ya tarehe ya makadilio. Fahamu zaidi kuhusu uchungu kwa kutembelea tovuti yetu. https://uzaziplusafrica.blogspot.com/2025/09/dalili-za-uchungukutaka-kujifungua.html.
31/08/2025
Fahamu mambo mbalimbali yanayohusu afya ya mtoto kwa kutembelea tovuti ya https://uzaziplusafrica.blogspot.com/search/label/AFYA%20YA%20MTOTO
30/07/2025
Certified care giver. YOU ARE ALL WELCOME
06/06/2025
02/05/2025
FAHAMU NJIA BORA ZA UZAZI WA MPANGO
#0757599024
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
KILIMANJARO
Moshi
2240
04/09/2025