Stan

Stan

Share

| Simba, Man utd and Real Madrid fan | Donโ€™t take everything seriously | For fun sometimes |

08/02/2026

Hii iwe fundisho ๐Ÿ˜‚

06/02/2026

THE DREAM IS FREE.
THE HUSTLE ID SOLD SEPARATELY.

04/02/2026

No matter what.

27/01/2026

Kwa mujibu wa taarifa ya kiuchumi iliyotolewa na shirika la kifedha duniani IMF mwaka 2026 inaonesha kuwa Uchumi wa Kenya umeimarika na kuifanya Kenya kuwa Economic Hub ya Afrika mashariki.

Uchumi wa Kenya pekee ni mkubwa Kuliko Uchumi wa Tanzania, Rwanda, Somalia, Burundi na Sudan Kusini kwa pamoja, yani jumla ya uchumi wa nchi 5 kwa pamoja bado hautofikia uchumi wa Kenya, kwa lugha nyepesi ni kuwa hata Tanzania, Rwanda, Somalia, Burundi na Sudan Kusini zikiungana na kuwa nchi moja bado uchumi wao hautofikia uchumi wa Kenya.

Kwa mantiki hiyo Kenya ndio "Super Power" wa Afrika mashariki, nchi zote nane za Afrika mashariki kiranja wao ni Kenya.

Tazama Pato la taifa la nchi za Afrika mashariki "EAC GDPs" kwa mwaka 2026. (According to the IMF).
โ€” Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช: $141 billion
โ€” Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ: $95 billion
โ€” DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ: $88 billion
โ€” Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ: $72 billion
โ€” Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ: $15 billion
โ€” Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด: $14 billion
โ€” Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ: $9 billion
โ€” South Sudan ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ: $6 billion.

Credit to Comred Mbwana Camerรดรฒ Allyamtu

25/01/2026

Glory glory Man United! ๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘

25/01/2026

Evolution

09/11/2025

EASY SUNDAY

26/10/2025

Hala Madrid!

25/10/2025

GGMU ๐Ÿ”ดโšช๐Ÿ”ดโšช

19/10/2025

All the best Mnyama.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Morogoro