Albart tz

Albart tz

Share

page maalumu kwa ajili ya,habari, elimu,teknolojia,burudani,na mengineyo mengineyo mengi kila kona ya dunia

12/06/2026

Celebrating my 6th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

11/06/2026
Photos from Albart tz's post 21/05/2026
01/05/2026

I got over 500 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

28/04/2026

🔥 US & Israel vs Iran – Je, Dunia Inaelekea Wapi? 🌍
Ilikuwa usiku wa kawaida lakini ndani ya muda mfupi, kila kitu kilibadilika. Habari zikaanza kusambaa mvutano kati ya Marekani, Israel na Iran umefikia kiwango kipya.
Mashambulizi ya hapa na pale, vitisho vya kisiasa, na maneno mazito kutoka kwa viongozi… dunia ikaanza kushuhudia mchezo wa nguvu unaozidi kuwa hatari.
Iran haiko kimya. Marekani na Israel nao hawarudi nyuma. Kila upande unaonyesha nguvu zake—lakini nyuma ya headlines, kuna swali moja kubwa:

👉 Nani atalipa gharama ya hii mvutano?
Wakati viongozi wanapanga mikakati…
• Bei za mafuta zinapanda 📈
• Uchumi wa dunia unatetereka 💸
• Na watu wa kawaida wanabaki na hofu 😔
Hii siyo tu vita ya silaha… ni vita ya ushawishi, nguvu, na mustakabali wa dunia.
Na ukweli ni huu—wakubwa wakipigana, wadogo ndio wanaumia zaidi.

⚠️ Je, hii ni mwanzo wa vita kubwa zaidi… au ni siasa tu za kutishana?
💬 Maoni yako ni yapi?
Unafikiri hali hii itaishia wapi? Tuambie hapo chini

UZA NA NUNUA – WhatsApp channel 12/02/2026

Hii channel itakusaidia kuuza, kununua na kupata maarifa mbalimbali ya biashara bure kabisa
KAGERA
DAR-ES-SALAAM
KYERWA
@

Join hapa👇

UZA NA NUNUA – WhatsApp channel Follow UZA NA NUNUA's WhatsApp channel. Channel maalumu kwa ajili ya kukusaidia kujifunza masuala mbalimbali kuhusu biashara kukusaidia pia kuuza na kunua bidhaa yoyote utakayo ihitaji
Unachotakiwa kufanya
💥KWA MUUZAJI
✅️Tuma jina la bidhaa unayo uza
✅️Tuma picha
✅️Tuma sehemu bidhaa ilipo
✅️Tuma mawasiliano bidhaa ilipo
✅️Tangazo lako tuma whatsapp namba 0747 877 855

KWA MNUNUZI
✅️jiunge na group
✅️pini hii channel ili uweze kupata notifications za bidhaa muda wote. Join 82 followers for the latest updates.

09/02/2026

fans .

22/01/2026

⏱️ Sio saa tu — ni statement ya lifestyle.
Carlos Santos Smart Watch kutoka Green Lion inachanganya ubunifu, nguvu na teknolojia ya kisasa.
💎 Muonekano wa kifahari wenye design ya kipekee
📱 1.57” display – kubwa, clear na rahisi kutumia
💧 IP67 Waterproof – usiogope maji
🔋 Standby hadi siku 15 – chaji moja, amani ndefu
Hii ni saa kwa mtu anayejua anachotaka.
Kwa kazi, gym au outing — Carlos Santos inakufaa kila mahali.
🔥 Time is precious. Vaeni saa inayojua thamani yake.

26/12/2025

26th December 2025
Thenks God for more blessing 🙌

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Morogoro