MADE IN MORO
Karibu ujipatie bidhaa mbalimbali zenye ubora zinazotengenezwa na vijana wa Morogoro mjini.
20/03/2022
Kwa mahitaji ya ASALI safi kwa wadau wetu wa MOROGORO MJINI wasiliana nasi kupitia 0683370065.
BEI NI:-
NYUKI WAKUBWA
Lita 1-12,000
680g-8,000
250ml-4,000
NYUKI WADOGO
Lita 1-35,000
680g-25,000
250ml-13,000
Karibuni sana.
09/09/2021
MAYAI YA KISASA
Mayai ya kisasa yapo ya kutosha, tupigie sasa uweke order yako 0683370065
TRAY 1-7,000
Duka linatazamana na SOKO KUU LA MOROGORO
09/09/2021
Wale wapenzi wa CAKE na MKATE WA NDIZI, weka order yako mapema, hautojutia!!
04/09/2021
Wale wapenzi wa PIZZA ndani ya MOROGORO iwe ni ya:-
1. BEEF
2. SAUSAGE
3. CHICKEN nk
Karibuni sana, tucheki kupitia 0786 316 316.
03/09/2021
Wale wa MOROGORO MJINI sasa usihangaike tena kujiuliza wapi utapata:-
1. ASALI
2. CAKES
3. KUKU WA KIENYEJI
4. MAYAI
5. PIZZA
Jibu ni MADE IN MORO.
Utapata vitu vyote hivyo tulivyoorodhesha kwa ubora wa hali ya juu kutoka kwa vijana wa mjini Morogoro.
Like page yetu na uwe unapata habari mbalimbali juu ya bidhaa zetu, mwambie na mwenzio.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa no. 0683370065.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Morogoro