kmcssua

kmcssua

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kmcssua, Artist, Morogoro.

30/07/2026

Tumsifu yesu kristu. Tunayofuraha kwa sababu Mungu ndie tegemeo letu. Mungu anatupenda na hakika Tutayasimulia Matendo yake makuu. Basi ndugu katika kristu mnakaribishwa katika uzinduzi wa nyimbo yetu mpya iitwayo NITAYASIMULIA. Ni jumamosi hii tarehe 1/8/2026 saa 6Mchana. Katika platform zetu za YouTube na audiomack.Tunawapenda wote Kmcs kisima Cha upendo...πŸ™πŸ™πŸ™

26/07/2026

The upcoming release
Matendo ya Mungu
Jumamosi tarehe 01.08.2026

12/07/2026

sua Katika kuwaaga ndugu zetu Finalists na kuwatakia mema huko waendako baada ya maisha ya chuo Tunajivunia kua nanyi katika familia hii moja ya kisima Cha upendo Mungu awabariki.πŸ™πŸ™πŸ™

12/07/2026

Nitakaporejea kwa mtumishi wangu by wasonga, Dominika ya 15 Mwaka A wa kanisa sua kisima Cha upendo..

04/07/2026

"What an amazing performance! Congratulations to the entire choir for winning the competition. You made us proud!"

Huge congratulations on taking first place! Your dedication and harmony were absolutely flawless."

03/07/2026

All the best in evangelism through singing.🀍🎹πŸͺŠπŸŽΊπŸŽ»

30/06/2026

sua Bwana waniona by sekwao. Bwana ndie ajuaye kuketi kwetu na kuondoka kwetu, Yale tutendayo kwa Mungu na kwa jirani zetu, yeye anafahamu mawazo yetu Basi kwa miogo yetu mikunjufu tumtafute tusimuache.πŸ’šπŸ€β€οΈ πŸ™πŸ™πŸ™

25/05/2026

pentekoste Tumuombe roho Mtakatifu atujalie Maarifa nguvu na hekima tupate kumtumikia bwana siku zote za maisha yetu tukawe chumvi na Nuru na ulimwenguπŸ€πŸ€πŸ€πŸ™πŸ™πŸ™

02/05/2026

Bwana Amefufuka, jinsi jointmass ulivyokwenda katika parokia ya Mt. Maria consolata sua

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Morogoro