Cnrope Farm

Cnrope Farm

Share

Ufugaji bora wa mifugo(Good animal husbandry)&Huduma za mifugo(Veterinary services). #Upatikanaji wa masoko#. Email: [email protected]

21/05/2026

Upungufu wa Madini ya Calcium(Milk fever) ni hatari kwa Ng'ombe wa maziwa.
Nini kifanyike?
Hakikisha Chakula cha ziada kina mchanganyo toshelevu wa madini ya Calcium
Funga/weka jiwe la madini(Mineral block) pahala wanapo kula ngombe
NB: Ukiona dalili k**a kusimama kwa shida, shingo kupindisha nyuma. Muiite Mtaalamu wa Mifugo kwa msaada wa haraka

12/02/2026

JINSI YA KUTENGENEZA FUNZA WA KULISHA KUKU:
Chukua kinyesi cha ng'ombe changanya na damu ya ng'ombe kisha weka sehemu ya wazi hasa juani ruhusu nzi kutua ili watage mayai.
Chukua mchanganyo huo weka kwenye kiroba chenye uwezo wa kupitisha maji taratibu.
Chimba shimo la wastani fukia hicho kiroba na mwagilia eneo hilo kila siku.
Baadaya ya siku 14 fukua utakuta funza wa kutosha kwa kulisha kuku wako.
NB:VIFARANGA wape kipaumbele kwani wanahitaji protini nyingi kwa makuzi bora na ya haraka.

23/12/2025

Haijawahi kuwa rahisi kamwe! Nia,uthubutu,kutochoka kutafuta elimu na maarifa ndio mwangaza wa ufugaji bora. Niulize chochote kuhusu ufugaji

14/12/2025

Unapoanza ufugaji ni vyema kuanza na uwekezaji mdogo ili uwe na uwezo wa kukabiliana na changamoto bila stress kubwa. Furahia kila hatua unayopiga. Every morning you wake up and check your flock is a step toward success, celebrate the small win like a new egg, a growing chick or health bird. 🐣🐤🐓 here we go

13/12/2025

Epuka vikwazo anza na ulichonacho. By nature everyone is a farmer. Zingatia tuu kanuni za ufugaji bora kuu:
1.Banda bora.
2.Mbegu bora ya mifugo
3.Chakula na Maji Safi ( general cleanliness)
4.Zingatia chanjo tena kwa wakati.
5.Tunza na linda vifaranga kwani ndo kuku wenye hao
6.Sahau vyote isipokua #4

09/12/2025

Iron injection(sindano ya madini ya chuma), teeth clipping & docking hutolewa ndani ya siku 3 hadi 5 baada ya nguruwe kuzaa na iron injection 💉 inaweza rudiwa tena baada ya siku 20.

Want your business to be the top-listed Pet Store/pet Service in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cnrope Farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mbeya.