Entrepreneurial Ideas Factory
Tunatoa mafunzo ya wanaopenda kufanyabiashara ya kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa. Wasiliana nasi Mfuko wa Elimu Mbozi kwa namba ya simu 0765223811.
Malipo utaingiza kwenye akaunti ya mfuko wa Elimu Mbozi moja kwa moja.
13/03/2024
Kuza biashara yako.
Kwa ajili ya kupata stadi za kukuza biashara yako, na stadi za kushinda ugonjwa wa kisukari,wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0765223811. Vikundi vya wanawake jiji la Mbeya karibuni sana.
Kuza biashara yako sasa hasa vikundi vya wanawake jiji la Mbeya Nsalaga. Tuone unapopata ugumu namna ya kupata mbinu za kukuza biashara. Mawasiliano kwa Lawrence Richard Makheya mshauri wa biashara Kibondenyasi Street house namba 27 Midas Street.
Tuambie k**a unahitaji mbinu za kukuza biashara yako kutumia stadi za USP (Unique selling point/proposition). Mawasiliano 0765223811
Kuza biashara yako. Penye tatizo nitafute.
Jitahidi kukuza biashara yako. Tuambie inapokwama tukusaidie.
USP (Unique selling proposition/Unique selling point).
09/09/2023
Kijana usiye na ujuzi au stadi za biashara, tafadhali tafuta fursa ya mafunzo kwakuwa ni muhimu sana kwako hata k**a hutapata ajira serikalini.
Baadhi ya wanao toa mafunzo haya ni Makheya Success and Access. Wasiliana kwa simu namba 0765223811.
Bado hujachelwa, wasiliana nasi tuku elekeze namna ya kufanikiwa biashara kukua biashara yako kupitia elimu ya Unique Selling Point or Proposition ( USP). Kwa mawasiliano, tupigie kwa simu namba 0765223811.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Tanesco Street
Mbeya