tzyaleo.blogspot.com
Stay with us to keep you well informed about what is happening around the whole world.You can share with us what is happening right where you are!
tzyaleo ni page ambayo imetengenezwa kwa ajil ya wewe kushare matukio mbali mbali yanayotokea katika jamii zetu,share nasi tukio lolote linalotokea ili tuwajuze na wengine!
07/09/2017
Mbunge Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasio fahamika huko Dodoma!Mungu/Allah amjalie kupona mapema.
07/11/2016
Aliyewahi kuwa Spika wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samweli Sitta afariki dunia akiwa katika matibabu nchini Ujerumani!Apumzike kwa aman,amina!
02/09/2016
Wagabon wanaoishi Ufaransa waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi
Raia wa Gabon wanaoishi nchini Ufaransa wameandamana
kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais nchini kwao yaliyomrejesha tena madarakani Rais Ali Bongo.
Waandamanaji hao waliokuwa wamebeba mabango na maberamu walipiga nara za kulaani kile walichokitaja kuwa wizi wa kura uliomrejesha madarakani Ali Bongo na kusisitiza kwamba, uchaguzi huo haukuwa halali.
13/02/2016
LISSU NA KESI YA EZEKIEL WENJE.
Mwanasheria nguli ndugu Tundu Antphas
Mung'wai Lissu ameahaidi kujiuzulu ubunge
wake k**a mteja wake Ezekiel Wenje akishindwa
kesi dhidi ya mbunge wa sasa wa jimbo la
Nyamagana bwana Mabula.
Hii imekuja mara baada ya mahaka jijini Mwanza
kuamru pande zote kuleta vithibitisho vya ushindi
wa ubunge wao! Ndugu Mabula alileta
masanduku ya kura kutoka jiji k**a ushaidi
tosha unaohalalisha ushindi wake, wakati Wenje
alileta form no 21 inayoonyesha sahihi za
mawakala wa vyama vyote huku form hiyo
ikionyesha kushindwa kwa Mabula.
Mahak**a ilimtaka ndugu Mabula kuonyesha
ushahidi mwingine tofauti na masanduku ya kura,
mabula alisema nyaraka zingine alizichoma moto
kwani aliona hazina tena maana kwake.
Mara baada ya mahak**a kuairisha kesi hyo
mpaka hapo baadae tarehe itakapotajwa,
mwanasheria machachari ndugu Tundu Lisu
alimfuata bwana Mabula na wakili wake na
kumweleza "Endapo Ezekiel Wenje hatashinda
kesi basi kesi nitalazimika kukununulia gari yenye
thamani ya pesa za kitanzania 25 ml na
nitajiuzulu ubunge na nyadhifa zangu zote ndani
ya chama changu" alisema Lissu.
07/02/2016
Mbwana Samatta ameanza rasmi kuichezea KRC Genk ya Ubelgiji baada ya jana kuingia katika mechi ya ligi na kucheza kwa dakika 17 wakati timu hiyo ilipoivaa Mouscron na kushinda kwa bao 1-0.
Ni wakati wa Watanzania,ni wakati wa Africa!
28/09/2015
Je anafaa kuwa Raisi, sema alichofanya kikaonekana mpaka leo hii!!
10/08/2015
Tujifunze haya!!
24/06/2015
CCM ITASHINDA TU HATA KWA GOLI LA MKONO
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25. Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Nyehunge wilayani Sengerema.
“Rangi inayoenda Ikulu ni hii (anaonyesha shati lake la kijani ambayo hutumiwa na chama hicho). Tuna uhakika na ushindi wa Rais. Kwa namna yoyote ile, CCM itarudi Ikulu hata k**a ni kwa bao la mkono... bao ni bao tu ili mradi refa hajaona,” Source: MCL
Nini maoni yako kutokana na kauli hii ya Nape?
22/06/2015
Kuna watu ni hatari kwa kuharibu Mifungo ya watu,cheki k**a hyo hapo!!
20/06/2015
Habari kutoka India,mtoto huyo(kwenye picha)Kazaliwa akiwa tayari kashazeeka,umbo lake ni la mtoto mchanga lakini ngozi na mwili wake wote ni k**a mzee wa miaka themanini!Ukistajabu ya M***a ...........
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Uyole
Mbeya
255
07/01/2018