Abby Music

Abby Music

Share

Musician

30/04/2026
22/04/2026

SISI MASIKINI NDIO!!
Je wewe ulie jaliwa namngu kuwa napesa zakutosha pamoja namali nyingi je icho kikubwa ulicho JALIWA KUWANACHO unakitumia vip je unatumia k**a fimbo kuwa azibu wengine haileti maana ila
Fikili tena iliufanye matumizi sahii ya HICHO ULICHO NAZO

20/04/2026

🙏

04/12/2025

WEMA MDOGO UNAOTOLEWA KWA DHATI
NI MKUBWA KULIKO MALI
ISIYO NA HURUMA.

Photos from Abby Music's post 03/12/2025
03/12/2025

FASHION CLOTHES

28/11/2025

HASIRA NI HASARA

30/06/2025

Ni Bora Zaidi kuwa na Adui Muwazi Kuliko Rafiki Anae Kurudisha Nyuma Kwa Siri

01/05/2025

Usiweke Tumaini lako kwa Mwanadam Nikiumbe Kinacho badilika mda wowote

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Mbeya