MBEYA BOY

MBEYA BOY

Share

"sauti yako maendeleo yetu"

||| MBEYA BOY󱢏 |||

20/04/2026

Nimepanda daladala na wife material Asante Mungu, sasa kuchukua namba sijui naanzaje watumishi!?

19/04/2026

Arsenal hakustahili kabisa kufika kwenye hesabu za vidole msimu huu , ilifika hatua Man City alikata moto ubingwa ukawa wazi kabisa lakini ndoto za kutaka yote kwa pupa [ FA , UEFA , Carabao , EPL ] tayari wameshayakosa mawili na mawili yapo mguu nje mguu ndani.

SHIDA YA ARSENAL NI NINI
Kocha
Wachezaji
Viongozi
Tamaa
Au vyote kwa pamoja _______?

19/04/2026

Waheshimu Baba na Mama, upate kuishi miaka mingi na heri Duniani..!📌❤️

|||MBEYA BOY󱢏|||

21/03/2026

😁😁😁dakikaa za jioniiii kitambaa kimetosha sare🙌

21/03/2026

Huu ndio unyakyusa sasa 😂

02/03/2026

゚ ���� ゚viralシfypシ゚viralシa ゚viralシfypシ゚viralシal

28/02/2026

゚viralシfypシ゚viralシa ゚viralシfypシ゚viralシal Shafalo Kalonga���� ゚viralシfypシ゚viralシa ゚viralシfypシ゚viralシal

24/01/2026

Haijalishi ni kwa kisingizio kipi, usimguse mke wa mwanaume mwenzio..

Sijali k**a hana furaha uko alipo, siwazi kuwa ni easy target.

Sijali kuwa hana aibu hata kidogo, ama ana upweke na huzuni namna gani..

Hiyo sio fursa, hilo ni jaribio la uanaume wako, ACHA.

Mwanamke asiyejiheshimu, yupo sokoni kwaajili ya mwanaume yeyote amtakaye..

Lakini mwanaume mwenye msimamo, anajua namna gani ya kujiepusha nae..

Kulala na mke wa mtu, sio ushindi, wala ushujaa,

Bali ni anguko la jinsia yako..

Sio tu unamvunjia heshima mwanaume mwenzio, bali unadharau jina lake, familia yake mpaka ukoo wake..

Wafalme hawaibi mabaki, wafalme hawasababishi mpasuko kwenye familia za wengine.

Hata k**a mwanamke ni cha-wote, wewe chagua kushiba na kukinai..

Hii ni code, ivunje ama huishi maisha yako yote ukilipia dhambi yake..

Weekend njema ndugu zangu..🙏

Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Tukuyu
Mbeya