Baraka Fm Radio

Baraka Fm Radio

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Baraka Fm Radio, Radio Station, Kadege, Mbeya.

Karibu katika ukurasa wetu wa habari na Burudani BARAKAFM MBEYA tupo tayari kukupa habari muda wotee usiache kusikiliza barakafm 107.7Mhz popote ulipoo pia Bonyeza Link hapo kutufuatili online

Photos from Baraka Fm Radio's post 31/12/2025

🚨 TANGAZO 📌

28/12/2025

https://www.youtube.com/live/xj-25u2jcvs?si=rKsX5Qoi3Lo66N6h

Ibada ya jumapiili ya leo kutoka usharika wa Forest

Karibu tuabudu pamoja tupo live YouTube ya BARAKA MEDIA MBEYA na Kupitia Baraka fm radio 107.7mhz

Usisahau kusubscribe account hii kwa ibada na matukio mbalimbali 🙏🙏🙏🙏

IBADA MAALUMU YA TAMASHA LA VIJANA KATI USHIRIKA WA ISYESYE MBEYA 30.11.2025 30/11/2025

https://www.youtube.com/live/DNBG6RhCnPA?si=ROY9HubkUcN8FvPc

Matangazo ya moja kwa moja ya Tamasha la uimbaji la vijana kati kanisa la Moravian Isyesye.

Unaweza kusubscribe na kushare kwa wengine ila wote tuendelee kubarikiwa na ibada hii.

MUNGU AKUBARIKI KWA KUTUTAZAMA.

IBADA MAALUMU YA TAMASHA LA VIJANA KATI USHIRIKA WA ISYESYE MBEYA 30.11.2025 Karibu sana katika Ibada Maalumu ya mwisho wa mwezi kutoka kanisa la Moravian tanzania jimbo la kusini magharibi ushirika wa ISYESYE. Barakamediambeya

Mwenyekiti kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi Mchungaji Paul Mwambalaswa(kulia) leo amewaongoza waombolezaji katika ibada ya mazishi ya mtumishi wa taasisi za kanisa @barakamediatz Kelvin Lameck aliyefariki October 29.10.2025.Kushoto ni Katibu Mkuu KMT -JKM mchungaji Nsevilwe Msyaliha na katika ni mchungaji wa ushirika wa Nzovwe Jonam Msangawale 

Mazishi yamefanyika katika makaburi ya Iwambi jijini Mbeya. 06/11/2025

Mwenyekiti kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi Mchungaji Paul Mwambalaswa(kulia) leo amewaongoza waombolezaji katika ibada ya mazishi ya mtumishi wa taasisi za kanisa aliyefariki October 29.10.2025.Kushoto ni Katibu Mkuu KMT -JKM mchungaji Nsevilwe Msyaliha na katika ni mchungaji wa ushirika wa Nzovwe Jonam Msangawale

Mazishi yamefanyika katika makaburi ya Iwambi jijini Mbeya.
https://www.instagram.com/p/DQuftD6jQPu/?igsh=MXc0ZnBkOHFocnNlcQ==

Mwenyekiti kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi Mchungaji Paul Mwambalaswa(kulia) leo amewaongoza waombolezaji katika ibada ya mazishi ya mtumishi wa taasisi za kanisa @barakamediatz Kelvin Lameck aliyefariki October 29.10.2025.Kushoto ni Katibu Mkuu KMT -JKM mchungaji Nsevilwe Msyaliha na katika ni mchungaji wa ushirika wa Nzovwe Jonam Msangawale Mazishi yamefanyika katika makaburi ya Iwambi jijini Mbeya.

Askofu Pangani afungua mkutano mkuu “sinodi”KMT-JKM,awataka wajumbe kuepuka kampeni za kupata viongozi 21/10/2025

Askofu Pangani afungua mkutano mkuu & #8220;sinodi& #8221;KMT-JKM,awataka wajumbe kuepuka kampeni za kupata viongozi

Askofu Pangani afungua mkutano mkuu “sinodi”KMT-JKM,awataka wajumbe kuepuka kampeni za kupata viongozi Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi kila baada ya miaka mitano linafanya mkutano mkuu. ‎‎Na Hobokela Lwinga ‎‎Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi mch.Robert Pangani amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa kanisa hilo” Sinodi”kujiepusha…

Dkt.Mpango;Wananchi tudumishe amani,tumuenzi Baba wa taifa 15/10/2025

Dkt.Mpango;Wananchi tudumishe amani,tumuenzi Baba wa taifa

Dkt.Mpango;Wananchi tudumishe amani,tumuenzi Baba wa taifa Mbio za mwenge kitaifa kitaifa 2025 zimehitimishwa rasmi mkoani Mbeya baada kukimbizwa kwa siku 195 nchi nzima. Na Hobokela Lwinga Makamu wa Rais Tanzania mhe.Philip Mpango amewataka wananchi wakiwemo vijana kuhakikisha ‎Wanasimamia misingi iliyoachwa na baba wa taifa mwalimu Julias…

13/10/2025

Serikali imeendelea kuchukua hatua kuimarisha ustahimilivu wa Taifa dhidi ya majanga, kupitia utekelezaji wa sera,sheria https://radiotadio.co.tz/barakafm/2025/10/13/6644/

Baraka FM - Sauti ya Matumaini na Ukombozi 12/10/2025

MATUKIO:12.10.2025.
‎
‎Idara ya Kwaya kuu ya kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi katika ushirika wa Itili.
‎
‎Ibada hii inaongozwa na mlezi wa idara hiyo ambaye ni Makamu mwenyekiti KMT-JKM mch.Asulumenie D.E.Mwahalende.
‎
‎Tuko live Baraka fm radio 107.7mhz
‎
‎Na Online yetu ya https://radiotadio.co.tz/barakafm/
https://www.instagram.com/p/DPtChb_De_7/?igsh=MTR1MGI1eHZqOGJyZA==

Baraka FM - Sauti ya Matumaini na Ukombozi Sauti ya Matumaini na Ukombozi

11/10/2025

https://www.youtube.com/live/nq_4_Q2I9bo?si=veBxMMAhQPmWziNB

Endelea kuwa nasi katika matangazo ya live mkutano wa vijana kati kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi.

Ratiba ya sasa ni tamasha la uimbaji.

Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Kadege
Mbeya