JONGO TZ

JONGO TZ

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JONGO TZ, Media, UYOLE, Mbeya.

22/06/2020

Taarifa kwa wana

22/06/2020

"Nampongeza sana anachokifanya nimetembelea kule alikojenga uwanja amefanya kazi nzuri sana"
Watu wa Simba, hivi MO anafaa kuitwa ?

.

22/06/2020

Msimbazi leo

17/02/2020

Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10).

Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa kupata galoni moja ya sumu.
OMBI.

kwa watu ambao mmechoka na umaskini k**a mimi ebu tujaribuni kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwazalisha hawa wadudu kwa biashara (commercially) tuweze vuta huu mpunga.

SOKO lipo na ni la uhakika kabisa hamna longolongo sijui bosi kasafiri njoo kesho.
Karibuni tuyajenge.

27/01/2020

Taarifa zinaeleza kuwa marehemu Kobe Bryant ,41, kwenye ajali ya helicopter iliyochukua uhai wake alikuwa na binti yake Gianna Maria-Onore Bryant ,13, wote ni miongoni mwa watu watano waliopoteza maisha kwenye ajali hiy

Photos 26/10/2019

Maisha ya mafanikio hutegemea zaidi jambo hili

Matokeo makubwa na ya kushangaza katika maisha hayaji kwa bahati mbaya, bali yanakuja kwa kuweka vipaumbele vilivyowazi kwako. Hakuna utakachokipata kikubwa kwenye maisha yako, k**a huna VIPAUMBELE.

Unapoishi bila vipaumbele hiyo ni sawa na kwako wewe kuamua kufukuza sungura wawili kwa wakati mmoja. Endapo ikitokea sungura hao wakipita kila mmoja na njia yake basi ni rahisi tu, hutampata hata mmoja.

Na maisha ulionayo yako hivyo hivyo pia, ni maisha yanayokutaka uwe na vipaumbele ni kipi unachokitaka. Kila wakati ili ufanikiwe, unatakiwa uchague vipaumbele vilivyo vya muhimu kwako na kisha vitekeleze.

Kinyume cha hapo utakuwa ni mtu wa kukimbizana kwenye maisha na kupishana na kila aina ya fursa na hakuna mafanikio ambayo utakuwa unayapata ya maana. Lakini kosa kubwa, linaanzia kwenye vipaumbele vyako.

Pamoaja na hayo usipende kuanza kufanya jambo amabalo halikuwepo katika kipaumbele chako kwani kufanya hivyo ni kuchanganya mambo, na kwa kufanya hivyo kumbuka huwezi kuapata mafanaikio yale unayoyataraji.

Maisha yako ya kimafanikio yatagemeana kwa kiwango kikubwa na vipaumbele vyako ulivyojiwekea kisha kusimamia katika kutekeleza vipaumbele hivyo. Ukilizingatia hili mafanikio makubwa yatakuwa upande wako.
Written By
Powered by

Photos 26/10/2019

Kikosi kimeshafika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Arusha. .

Photos 26/10/2019

Link On Bio Yangu now Pre Order first Album on All digital platforms. . .

Photos 25/10/2019

You can now Pre Order first Album on All digital platforms. . .
By

24/10/2019

Mechi

18/10/2019
12/06/2019

Welcome Manchester United

Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


UYOLE
Mbeya