Jenga afya
Tunatibu magonjwa sugu karbuni
Habar karibu katika Jenga afya tunasidia watu mbalmbal wenye magonjwa sugu nayanayo ambukizwa pamoja naya kurithi k**a vile kisukari shambulio la moyo,presha,kukosa nguvu za kiume,kansa aina zote, unene kupiliza pamoja na matatizo ya hedhi.ukipata tangazo hili wasiliana nami kupitia No: 0693439919 nyote mnakaribishwa
21/01/2024
UNATAKIWA KUFANYA YAFUATAYO ILI KULINDA AFYA YAKO
1. Hakikisha umeacha punyeto kabisa
Ili upone tatizo hili hutakiwi kuwa mtu wa kubadilika mawazo hovyo. K**a umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi fulani nimeacha tabia hii na sitarudi nyuma. K**a wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa kulingana na imani yako.
2. Mazoezi
K**a wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Inaweza kuwa kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu uwe mzuri na wewe usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume.
3. Kula chakula bora cha asili
Vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
4. Kunywa maji mengi sana
Kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo k**a mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya