AICT MBEYA CHOIR

AICT MBEYA CHOIR

Share

Tunazo sababu zote, Nia,Uwezo na Mamlaka ya Kumuimbia MUNGU Sifa

30/03/2026

NI MWAMINIFU

22/03/2026

➡️ *Bwana ni Mwema* 🔥🔥🔥🔥🔥
*♦️AICT MBEYA FOREST CHOIR♦️*

https://www.youtube.com/

🔥 *WEWE NI MWAMINIFU* 🔥

Ni wimbo wa kumtukuza na kumwambia Mungu hajawahi kusema uongo, Ahadi zake ni kweli na amina 💪
*Hesabu 23:19*, "_Mungu si mtu, aseme uongo; wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza?_"

Wimbo huu utakuwa YouTube JUMAPILI hii ya Tarehe 22.03.2026 kuanzia saa 7:00 MCHANA (13:00HRS).
🔁 *SUBSCRIBE*, *LIKE*, *COMMENT* & *SHARE* Baraka hii kwa wengine tumwadhimidhe *MUNGU* kwa *UAMINIFU WAKE KWETU*!!!!!!

21/03/2026

Kuna kitu kinakuja… sio kawaida!
Wimbo mpya unashuka 🔥

21/03/2026

Tarehe 22 – wimbo mpya unatoka rasmi 🎧
Usikose vibe hii!
karibu usubscribe
https://youtube.com/?si=HIeHttmwZfkjUgTg

:

12/01/2026

bonyeza hapa kutazama wimbo pendwa wa uinuliwe kutoka AICT MBEYA FOREST CHOIR na MUNGU ATAKUBARIKI https://youtu.be/Asdx0gV4y4s?si=LG_KS8ngihphs15m

07/01/2026

Usipitwe na hii
Karibu usubscribe
https://youtube.com/?si=pVbMxDVtGhPcpSEX

07/01/2026

Msikilize katibu wetu
https://youtube.com/?si=pVbMxDVtGhPcpSEX

07/01/2026

Subscribe https://youtube.com/?si=pVbMxDVtGhPcpSEX uwe wa kwanza kuupata wimbi huu

04/01/2025
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mbeya
3544