MBEYA IMS FIELD

MBEYA IMS FIELD

Share

Karibuni kwenye ukurasa maalumu wa south west mission field.

Photos from MBEYA IMS FIELD's post 14/11/2020

Tar 11/11/2020 kanisa la wasabato Wa matengenezo Mababu kyela Mbeya
Ndoa takatifu kati ya Kijana Nelson Humbo na Dada Ester mkoa Wa Mbeya
Ndoa iliyofungishwa na mch.Ibrahim Sanga
Tuiombee ndoa hii mpya...

24/10/2020

Tuyachunguze maandiko watu Wa Mungu
Matendo 17:10,11

Photos from MBEYA IMS FIELD's post 03/10/2020

Ubatizo uliofanyika katika makambi ya kanda ya kyela kanisa la wasabato wa matengenezo 2/10/2020 na mch J.M.BWALYA
Eneo ziwa Nyasa
Tuziombee hizi roho mpya nane ,Amina.* #

26/09/2020

MAKAMBI MAKAMBI 2020
Kanda ya kyela -Mbeya `eneo La kanisa la Makwale*
Tar 27/9/-3 /10/2020
Wahudumu
Mch. Bwalya ,Mch Mbuba na Doctor Nyakeji
*Fungu kuu Ufunuo 18:1-3
*Masomo yatakayofundishwa
1.kristo haki yetu ,2.unabii 3.Afya na 4. historia ya kanisa.
*Waimbaji* ni sauti kuu, vijana kanda , mwimbaji binafsi Rest Joel atakuwepo.

Imeandaliwa na- MULTIMEDIA FIELD YA MBEYA
USIPANGE KUKOSA. #

24/09/2020

Warumi 12:5
[5]Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Isyesye
Mbeya