Adam Nziku

Adam Nziku

Share

30/09/2024

Siku zote zinalingana lakini hazifanani au siku zote zinafanana ila hazilingani?

28/07/2024

Ndiyo maana Wamasai Hamasaki kabisa kusikia chakula Samaki,Sasa huyu si Chatu kabisa!

26/05/2024

Hawezekani ukafua nguo kwa kutumia maji machafu,utakuwa unaionvezea Uchazfu! Sijui mnanielewa?

25/11/2023

Unaweza kudanganya watu wote wakati wote na watu wengine wakati wote lakini hauwezi hauwezi kuwadanganya watu wote wakati wote

25/11/2023

Jogoo hana Mshenga

25/11/2023

Siku zote tengeneza Connection siyo Friction!

25/11/2023

Ndama hazaliwi na Pembe,huwa zinaota baadaye

06/11/2023
08/12/2022

Mama alinambia "hats K**a una kiu kiasi gani Kuna baadhi ya watu usiwaombe maji'' maana watamwambia Kila mtu kuwa kuwa walikuoa maji''.

19/09/2022

K**a hawezi kuwa taa ya kuwaa gazia wapemdw wako Basi usiwe Giza la juhudi zao

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Tukuyu
Mbeya