CHAZD
HII PEJI INAWATLETEA BURUDANI NA MATUKIO USIKOSE KUTAZAMA VIDIO NA PICHA KILA WAKATI
fungeni vyote ila msifunge betway na betpawa sportspesa
maana mtakuwa mmefinga ofisi za wengi
🤣🤣🤣🤣🤣
nawewe SEMA yako
22/10/2025
BURE FC Mtulie kwanza
mashabiki wanaolipa kiingiliongonga like
22/10/2025
KWA MARA YA KWANZA TIMUNKUTOKANTANZANIA KUWANIA TUZO ZA AFRIKA
HII SASA IMEVUKA VIWANGO VYA BUREEEE FC🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Klabu ya Simba imeteuliwa kuwania tuzo ya Klabu bora ya mwaka Afrika kwa mwaka 2025.
Simba Sports Club inawania tuzo pamoja na
Pyramids FC, RS Berkane, Mamelod Sundowns, Asec Mimosas, Orlando Pirates, Stellenbosch FC, CS Constantine, CR Belouizdad na Al Hilal SC.
Hakuna uchawi,Simba ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita wakati BURE FC 🤣🤣 iliishia hatua ya makundi Klabu bingwa Afrika mwaka wa janaaaa
22/10/2025
HABARI:
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili Daniel Stephen Seif (K***a) (24) mkulima, mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi na Daniford Stephen Seif (24) (Doto) mkulima Mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kifungu cha 196 na 197 marejeo ya Mwaka 2022.
Daniel na Daniford wote kwa pamoja walitenda kosa hilo Disemba 15, 2024 katika Kijiji cha Mraushi "A" kwa kumpiga mama yao mzazi Upendo Methew (42), katika paji la uso, kwa kutumia jembe na mchi hivyo kumsababishia majeraha yaliyopelekea kifo chake.
Watiwahatiani wote wawili walikiri kutekeleza mauaji hayo ya kikatili baada ya kumtuhumu mama yao kuwa anawaroga
21/10/2025
07/10/2025
tupate wazamn kidogo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
ILEMI
Mbeya
21/10/2025