MWL TITUS SWEBE
Teaching the WORD OF GOD
22/12/2025
EE NAFSI YANGU UMTUMAINI BWANA!!!!
Zaburi 42:10-11
Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako? Nafsi yangu, kwa nini kuinama, Na kufadhaika ndani yangu? Umtumaini Mungu; Kwa maana nitakuja kumsifu, Aliye afya ya uso wangu, Na Mungu wangu.
13/11/2025
1 Yohana 3:10 "Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto wa Ibilisi nao. Mtu ye yote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.β
Hii nimeipenda πππ
09/02/2025
WEWE UNAEMTUMAINIA BWANA
Tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina BWANA, wala hukuchoka.Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, BWANA aja kwako, naye atakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.
Ufunuo 2:3-5
12/11/2024
βWala usimhukumu mtumishi wako, Maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki.β
Zaburi 143:2
31/07/2024
Japokuwa nimechoka, AHADI ZA BWANA ZINANIHUISHA TENAπ₯π₯
Kwa Nini unakata tamaa???
Ufunuo wa Yohana 16:15 Tazama, naja k**a mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.β
11/07/2024
βNawe ukienda katika njia zangu, na kuyashika mausia yangu, na amri zangu, k**a baba yako Daudi alivyokwenda, basi nitazifanya siku zako kuwa nyingi.β
β 1 Wafalme 3:14
24/06/2024
Anger and bitterness are demon's two-edged swords that harms both the one wielding it and anyone to whom it is directed, even if it is yourself. Anger and bitterness can be directed outwardly or inwardly.
03/04/2024
NI BWANA AMETENDA
Kwa msaada wa Bwana bado tunaendelea, ni majira kwenda hatua nyingine.
09/03/2024
AH!!! SITAOGOPA
βTazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana Bwana YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.β
β Isaya 12:2
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Website
Address
ILEMI
Mbeya
6318
17/02/2024