Philipo Mella
Sports and Entertainment
Hallelujah
21/01/2023
๐ฅ๐ฎ๐ถ๐ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ ๐ซ๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ด ๐ฃ๐ถ๐ป๐ด ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ถ๐บ๐๐น๐ถ๐ฎ.
Nikiwa mtoto mdogo, nilikuwa ๐บ๐ฏ๐ถ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ถ sana, kila mara nilipenda kujinyakulia kilicho bora zaidi.
Polepole, kila mtu aliniacha na sikuwa na marafiki. Sikuona k**a hilo lilikuwa ni kosa langu badala yake niliishia kuwakosoa wengine.
Lakini baba yangu alinipa darasa la kunisaidia maishani.
Siku moja, baba yangu alipika bakuli 2 za tambi(noodles) na kuziweka juu ya meza. Moja lilikuwa na yai juu huku bakuli lingine halina hata yai moja juu.
Kisha akanitaka nichague bakuli moja.
Kwa sababu mayai yalikuwa adimu siku hizo, nilichagua bakuli lenye yai!
Nilikuwa najipongeza kwa uamuzi wangu wa busara wa kuchagua bakuli lenye yai. Kwa mshangao wangu, niliona kwamba bakuli la babangu lilikuwa na mayai mawili chini!
Kwa majuto mengi, nilijikaripia kwa kuwa na haraka katika uamuzi wangu.
Baba yangu alitabasamu, *๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ถ๐ฎ, ๐๐ถ๐๐ผ ๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐๐ป๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ๐ธ๐ถ๐ผna ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ๐ป๐ถ ๐ธ๐ถ๐ป๐ฎ ๐๐ธ๐๐ฒ๐น๐ถ.*
Aliongeza kuwa, *๐จ๐ธ๐ถ๐ท๐ฒ๐ป๐ด๐ฎ ๐๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐ป๐๐ณ๐ฎ๐ถ๐๐ต๐ฎ na kujipendelea ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ด๐ผ๐ป๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐๐ฎ๐ถ๐๐ต๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ฎ๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ฎ.*
Siku iliyofuata, baba yangu alipika tena bakuli 2 za noodles: bakuli moja na yai juu na bakuli lingine bila yai juu,na kuleta mezani.
Tena, alinitaka kuchagua bakuli nililotaka.
Wakati huu, nilihisi mjanja kwa hivyo nilichagua bakuli bila yai lolote juu.
Mmmmm kwa mshangao, hapakuwa na hata yai moja chini ya bakuli!
Tena baba alitabasamu na kuniambia, ๐บ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ป๐ด๐, ๐๐๐ถ๐๐ฒ๐ด๐ฒ๐บ๐ฒ๐ฒ ๐๐๐ผ๐ฒ๐ณ๐ ๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐บ๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ, ๐บ๐ฎ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ธ๐๐ฑ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ธ๐๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐น๐ฎ.
๐๐ฎ๐บ๐๐ฒ ๐๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐๐ถr๐ถ๐ธ๐ฒ ๐ฎ๐ ๐ธ๐๐ต๐๐๐๐ป๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ, ๐๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ต๐ฎ๐น๐ถ ๐ณ๐๐น๐ฎ๐ป๐ถ, ๐ฐ๐ต๐๐ธ๐๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ ๐๐๐ผ๐ฒ๐ณ๐ ๐ธa๐บ๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐ณ๐๐ป๐๐ฎ ๐๐ผ๐บ๐ผ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐น๐ผ ๐ต๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐๐ถ ๐ธ๐p๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐๐ผ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐๐ผ๐๐๐ผ๐๐ฒ ๐๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐ฑ๐ฎ.
Siku ya tatu, baba yangu aliweka tena bakuli 2 za noodles, bakuli moja na yai juu na nyingine bila yai juu.
Alinitaka nichague bakuli nililotaka.
Lakini wakati huu, nilimwambia baba yangu, Baba, chagua kwanza. Wewe ndiye kichwa cha familia na unachangia zaidi kwa familia.
Baba yangu alifurahi sana na alinichagulia.
Alichagua bakuli lenye yai moja juu. Lakini nilipokuwa nikila bakuli langu la tambi, kwa mshangao wangu, kulikuwa na mayai mawili chini ya bakuli.
Baba yangu alitabasamu kwa upendo machoni pake. Alisema, ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ป๐ด๐, ๐ป๐ถ ๐น๐ฎ๐๐ถ๐บ๐ฎ ๐๐ธ๐๐บ๐ฏ๐๐ธ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐๐ป๐ฎ๐ฝ๐ผ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฎ๐ท๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ, ๐บ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐บa๐๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ.
Kupitia hii hadithi ya ๐ซ๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ด ๐ฃ๐ถ๐ป๐ด, tunapoendelea na safari ya 2023 na mambo yetu yaende barabara.
โก๏ธTunatakiwa tufikirie manufaa ya wengine ndipo mema yatakapotujia.
โก๏ธKatika kutimiza malengo yetu, tusiwe wabinafsi; bali pia tunapaswa kutilia maanani mikakati ya wengine ili furaha yetu husika ikamilike.
โก๏ธTusikimbilie nafasi, cheo, mali, umaarufu n.k kwa kuwaangusha,kuwadharirisha, kuwaangamiza au kuwaponda wengine ili tu kupata chochote tunachotaka.
*Mungu wa mbinguni azidi kutupa hekima, busara kila tunapoiwazia kesho yetu*
23/12/2022
*NI MAMA AU NI MAMA YAKO*?
*Salum alimtumia meseji mke wake; โSamahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, nipo Hospitalini hapa Mama amelazwa kapungukiwa damu ndiyo nahangaikia watu wa kumuongezeaโ*
*Mkewe akajibu; Kwahiyo Mama yako ndiyo umemuona wa muhimu sana kuliko mimi, yaani mimi nipande Bajaji kisa Mama yako anaumwa, si umuache uje unichukue, unakaa huko kwani wewe Daktari!*
*Gari yangu mwenyewe kisha unisumbue sababu ya Mama yako! Umesikia gari ya wagonjwa hiyo, ungetaka kumhudumia Mama yako si ungenunua ya kwako!โ*
*Salum alimuulizaโ; Kwahiyo ni muache Mama hapa nije kukuchukua?โ Mkewe alimjibu, ndiyo kwani ukimuacha atakufa! Si ushasema yuko hospitalini! Si kuna madaktari huko!*
*Nitaendaje kwenye sherehe peke yangu k**a vile sina mume!โ Salum alikata simu na baada ya k**a nusu saa hivi alikua nyumbani tayari kumchukua mkewe, kwahasira mke alipanda kwenye gari, walienda mpaka kwenye sherehe.*
Sherehe ilianza, huku mke akinywa kwa hasira hakutaka hata kuongea na mumewe.
Salum alikaa kimya akiwa na mawazo mengi kila mara akishikilia simu yake. Katika kipindi chote hicho mkewe hakumuuliza hata hali ya Mama.
Sherehe iliisha wote wakaingia kwenye gari kurudi nyumbani. Walilala mpaka asubuhi mkewe akiwa hajamuulizia chochote.
Asubuhi wakati wanaamka simu ya mwanamke ikatoa mlio Wa Meseji, ujumbe ulitumwa kutoka kwa Mdogo wake Wa tumbo moja ukasomeka hivi:
"Dada! mama amelazwa hospitali tangu Jana, tulimuona tu shemeji we we ulikua wapi?"
Ghafla uso ukabadilika akamgeukia Mume wake na kumuuliza "kumbe anaeumwa ni mama yangu! Mbona hukuniambia??
Salumu akajibu:
*โJamani jana si nilikuambia anaumwa hali mbaya kalazwa hospitalini?โ*
*โUliniambia lakini hukuniambia k**a ni Mama yanguโ*
*โJamani mke wangu sisi ni mwili mmoja, sasa niliposema Mama nilikua na haja gani ya kusema Mama yangu au wako, kwamaana ninavyojua Mama yangu Mama yako na Mama yako ni Mama Yangu.*
*Huku akilia. โSasa ndiyo ukamuacha Mama hospitalini, kwani kapatwa na nini? Yaani unanaicha na sherehekea kumbe Mama yangu anaumwa!โ*
โAlipata ajali ya gari jana, akapoteza damu nyingi, sasa hospitalini kulikua hakuna damu ndiyo nikawa natafuta watu wa kumuongezea, sema uliposema niache kuhangaika naye ndiyo nikaacha sasa sijui hali yake inaendeleaje maana alizidiwa sana".
Huku akilia mkewe aliingia kwenye gari kwa kasi akimtaka mumewe aendeshe gari kwa haraka, Salum aliendesha gari taratibu akipitia ofisini kwao kusaini, mkewe alilalamika kwamba wanachelewa
Kwa namna alivyokuwa amechanganyikiwa mkewe alishindwa hata kuendesha gari hivyo ilibidi amsubiri mumewe waondoke wote. Njia nzima mkewe alikua akilia.
Mkewe alijua Mama yake alishakufa kwa kukosa damu kwani kwa hali aliyoelezewa alijua kuwa hawezi pona. Alifika na kuwakuta ndugu zake wako nje, aliwasalimia na kuwauliza hali ya Mama walimuambia aingie kumuona.
Alizidi kuchanganyikiwa akijua Mama yake kashafariki.
Alifika na kumkuta Mama yake mzima, alimsalimia na kumuomba msamaha kwa kuchelewa kuja kumuona akisema alikua hajui, Mama yake alimuuliza kwa mshangao.
*โUlikua hujui wakati Mumeo jana alikuwa hapa, Baba wa watu kahangaika sana mpaka kupata watu wa kuniongezea damu, kasumbuka sana jana, mwanangu hapa umepata mume. Asingekua mumeo ningeshakufa kwani madakitari walisema ningekosa damu ningekufaโฆโ*
Mke wa Salum alishindwa cha kujibu, hakujua kuwa kumbe Salum hakuacha kutafuta damu alihakikisha Mama yuko salama ndiyo akaondoka.
โSikumwambia Mama, Jana alikua anajisikia vibaya, nadhani presha ilikua inamsumbua, nikasema nisimwambie kwani angeweza kuchanganyikiwa. Asubuhi ndiyo nikamuambia baada ya kuona yuko vizuriโ
"Naendela vizuri mwanangu, ahsante sana kwa kuhangaika na mimi jana, nilikua hoi sana". Mama yake aliongea huku akitabasamu. Mkewe alinyanyuka, huku akitoa machozi alimkumbatia mumewe na kumwambia: "nisamehe mume wangu sasa ndiyo nimejua maana ya ndoa"
Salum alimkumbatia mkewe kwa nguvu na kumwambia.
"Usijali mke wangu nakupenda sana nilitaka tu ujifunze kuwa mali sio kila kitu, najua umenizidi kipato lakini pesa zinatafutwa na kamwe hela haiwezi kuzidi thamani ya utu"
*JIFUNZE KISHA Funza wengine*
22/12/2022
Upendo udumu daimaโฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธ
17/12/2022
16/12/2022
๐ฐ ZA HIVI PUNDE ||โข
Simba imekamilisha usajili wa nyota watatu ambao ni ๐๐
๐Ceasor Manzoki,
๐Luis Miquissone
๐Saido Ntibazonkiza
Wale wa kubisha daima endeleeni kubisha tu daima โ๏ธโ๏ธ๐น๐ฟ๐ฅ
Ayubu 22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Acquaint now thyself with him, and be at peace: thereby good shall come unto thee.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Iyunga
Mbeya