Access Fm Radio
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Access Fm Radio, Radio Station, Old Forest, Mzumbe Area MBEYA, Mbeya.
Contemporary Hits Station(CHR) Radio Station From Mbeya Tanzania..
100.9 MHz |MBEYA|SONGWE|
#2021IshiKileleni
SIKILIZA ACCESS FM LIVE 🌎🌎🌎🌍👇👇👇
onlineradiobox.com/tz/access1009/?cs=tz.access1009
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini Mh.Dr.Tulia Ackson atamani kutokuwepo kwa mwanchi Jimboni kwake kulala na njaa kwa kusosa chakula
Adhabu ya aina hii ni ukatili wa watoto shuleni. Ikumbukwe, wizara ya elimu ilitoa waraka wa viboko shuleni namba 24 wa mwaka 2020. Huyu anayefanya kuchapa hapa ni ukatili. Halafu Yaani unakuwa na waalimu wa hivi, mtoto anachapwa wao wanacheka.
Nimepata tips kuwa eti ni Shule ya Msingi iliopo Wilaya ya Kyerwa-Kagera na ni tukio la tar.10 Januari 2023. NAFUATILIA ZAIDI KUTOKA MAMLAKA HUSIKA. TUTAWASILIANA.
UPDATES: CONFIRMED: Mhe Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Kagera kesho atatoa taarifa yake. TUSUBIRI Situation is under control.
WAALIMU ZINGATIENI UTARATIBU WA ADHABU ZA WANAFUNZI: LAZIMA SHERIA ZIHESHIMIWE.
Tutafuatilia utekelezaji wa sheria dhidi ya wanaofanya ukatili, jamii itaibua hawatajificha. Tusonge mbr tumechoka kabisa na ukatili.
19/01/2023
Mchezaji qa timu ya vijana U17 ya singida big stars mohammed maarufu Banda amefariki mazoezini mara baada ya kugongana na mchezaji mwenzake wakati wakigombea mpira wa juu.
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Singida (Sirefa), Hamis Kitila amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Ni kweli walikuwa kwenye mazoezi asubuhi jina la marehemu anaitwa Mohammed hili Banda ni la utani anajulikana zaidi kwa jina hilo amesema kitila.
19/01/2023
NAWEZA KURUDI KWENYE MEDIA
Ameyasema hayo alipo hojiwa kupitia kipindi cha amefunguka mengi kwamba anaweza kurudi tena na kua Presenter.
19/01/2023
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Umeme na Gesi.
Mazungumzo hayo yamefanyika tarehe 18 Januari, 2023 jijini Dodoma ambapo viongozi hao walizungumzia ushirikiano katika kuendeleza nishati ya Jotoardhi, Jua, Upepo pamoja na mradi ya usafirishaji Gesi, usafirishaji umeme na usambazaji umeme vijijini.
19/01/2023
Catch Him Live On TAASISI YA BURUDANI ... B56, B PLUS, THE BIG DADDY...NDEGE LA KIVITA KUTUA uwanja wa BURUDANI POWER CLUB SHOW
100.9
18/01/2023
Mpira umemalizika kwa simba kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya mbeya city
18/01/2023
Mpira ni mapumziko ikiwa hamna mbabe
Simba 1 mbeya city 1
18/01/2023
Makamu wa Rais wa Gambia Badara Alieu Joof amefariki dunia nchini India, kwa mujibu wa tangazo la rais.
Makamu huyo wa rais amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, ingawa rais hakutaja iwapo alikuwa akipokea matibabu nchini India au la.
Rais Adama Barrow alimteua Bw Joof k**a makamu wa rais baada ya kushinda uchaguzi wa marudio mnamo Disemba mwaka jana.
18/01/2023
II Ya Taasisi ya burudani inamilikiwa na akitambulisha rasmi track yake ya Emoji na story kibao za mwaka Mpya
18/01/2023
Mtaani kwako bei ya Michele inasoma shingapiii hii Njaanuary. share na sisi
18/01/2023
Klabu Ya Ihefu FC ya Ubaruku Mkoani Mbeya imethibitisha Kukamilisha Usajili wa Viungo Wawili Kutoka Klabu Ya Simba Victor Akpan na Nelson Okwa Kwa Mkopo wa Miezi Sita.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Old Forest, Mzumbe Area MBEYA
Mbeya