Rev. Mwaipopo

Rev. Mwaipopo

Share

Welcome to the official page Rev. Stephen Mwaipopo of Moravian Church in Tanzania Southern Province. Nina imani kubwa utabarikiwa kwa mafunzo utakayoyapata hapa.

Karibu katika ukurasa huu wa mafundisho ya mambo mbalimbali hasa zaidi tukigusia mambo ya ndoa. Mungu akubariki sana na usiache ku share masomo haya.

15/02/2025

Sehemu ya kwanza ya mafundisho niliyoyatoa siku ya Valentine day 14/02/2025 nilipoendesha mafunzo kwa wana ndoa katika Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini, Ushirika wa Rungwe.

Na yakawe baraka kwako.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya