MbeyaUrembo
Sisi ni wasambazaji wa Wax Original za Congo na Vitenge mbalimbali Tunduma. Tunakusaidia kuchagua bidhaa bora.
Uko Dsm, Mwanza, Bariadi, Morogoro au Dodoma na popote Mzigo utakufikia. Sisi ni Lango la mitindo ya Afrika🔥
0742214639
insta: @tundumathread
Ukiwa unahadithia usiache kusema anauza na vitenge vya pande tatu kwa 7000 hapo ndo wataona kweli umewapa chimbo💥🔥🔥🔥.
Je ungependa kuanza na Laki na sabini au vya 460,000 kwa wax zote utapata doti 20 tu.
Tufanye ndo wewe🤩 unahitaji kitenge cha kutoa zawadi kwa mlezi wako alikulea utamchagulia doti zipi mbili kwa unamvyomjua aseme Daaah Libarikiwe Tumbo lililokuzaa😇😇🤩🤲🏾
01/06/2026
✨ AFFIRMATIONS ZA JUNI 2026
Sema kwa sauti kila asubuhi:
🌸 Juni ni mwezi wangu wa kibali.
🌸 Mungu anafungua milango ambayo hakuna mwanadamu anaweza kuifunga.
🌸 Wateja sahihi wanakuja kwangu kila siku.
🌸 Biashara yangu inakua kwa neema na hekima.
🌸 Nina uwezo wa kusimamia utajiri unaokuja.
🌸 Kila siku naleta thamani kwa watu ninaowahudumia.
🌸 Nimebarikiwa ili niwe baraka.
🌸 Ninavutia fursa, mahusiano mazuri, na mafanikio.
Biashara nyingi zinakufa sio kwa sababu wateja hawapo… bali kwa sababu mfanyabiashara anakosa mzigo mzuri, bei inayoeleweka na msambazaji anayemjali.
Mimi nipo kwa ajili yako. Tunakuletea vitenge original, cotton nzuri, rangi zisizochuja na designs zinazouza ili wewe uuze kwa kujiamini, mteja wako akirudi aseme:
“Dada, kile kitenge kilikuwa kizuri sana, naomba kingine.”
Ukitaka kuanza kidogo kidogo, kuchukua kwa ajili ya kuuzia ofisini, kwenye vikundi, kwa marafiki au online karibu sana.
Mzigo mpya unaingia kila wiki na tunadeliver popote Tanzania.
📲 Nitafute leo nikutumie designs zilizopo.
Vitenge original vya kuuza kwa mwanamke anayejenga maisha yake kwa mikono yake.💥🥰😇😇😇
29/05/2026
Unataka kuanza kuuza vitenge kwa wenzako maofisini au kwenye vikundi?
Usianze na mzigo wa kubahatisha. Anza na vitenge original, rangi nzuri na michoro inayouza haraka.
Tunduma Thread tunakutumia stock ya kuchagua, unachukua picha/video, unaonyesha wateja wako, unaanza kupata oda.
Tuma ujumbe leo nikuonyeshe vitenge vilivyopo.
Ukiona kitenge chenye rangi zinazokaa vizuri, usikidharau. Hicho kinaweza kuwa best seller yako kwenye duka, zawadi yako ya mama, au outfit yako ya tukio muhimu.Vitenge hivi tunaita Wax namba 2 ni doti yenye pande 3 na jumla utaipata kwa 11,000 tu💥🔥.
Andika nataka best seller nikuunge kwenye group uone vitenge vinavyouzika haswa! Vinafaa kushona au?
24/05/2026
Tunakuchagulia wax nzuri, rangi kali, cotton inayokaa vizuri, tunakutumia mpaka ulipo. Tunapatikana 0742214639
Kwa Mama wa Mwanza, Mbeya, Dodoma, Arusha, Dar, Morogoro, Tabora, Kigoma na mikoa yote…
Usisubiri safari ya Tunduma kupata kitenge kizuri.
Tunakuchagulia wax nzuri, rangi kali, cotton inayokaa vizuri, tunakutumia mpaka ulipo.
Ukiamini mara moja, utarudi tena.
Watsap yetu 0742214639 piga/tuma sms tutakupa picha za vitenge vyetu original, havichuji wala kupauka!
❤️❤️
Leo nakuonyesha vitenge vitakavyofaa weekend ya sherehe, usiache kutoka kipekee kwa kuwa na kitenge cha maana💥😍🥰🥰🥰🤩 unapenda ushone plain au na lesi?
゚viralシ
20/05/2026
Mwanaume mwenye taste huwa hapigi kelele… muonekano wake ndio huzungumza kwanza.
Kitenge cha black & white ni chaguo la wale wanaopenda kuonekana official, smart na tofauti bila kupoteza heshima ya muonekano wa kikazi.
Shati k**a hili linafaa kwa:
ofisini, meeting, safari za kazi, church, na siku ambayo unataka uonekane mtu wa mipango.
Tunduma Thread tunachagua vitenge vinavyoweza kushonwa na kutoa muonekano wa thamani, sio tu rangi nyingi.
Swali la leo:
Kwa mwanaume, unapenda shati la kitenge liwe la mikono mirefu au mifupi?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Blak
Mbeya
0255