Glorious Rehobothi

Glorious Rehobothi

Share

Tunasaidia kutatua changamoto za uzazi kwa wanawake na wanaume
furaha yetu kukusikiliza na kukuhudumia

Tupigie 0676955586 Wanaume /Wanawake

18/01/2024

🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲

Wapendwa Leo nipo hapa kujibu maswali juu ya uzazi tu

Kuna swali hili kwanin hushiki ujauzito

Wengi Wana lalamika na kuumi wame poteza pesa nyingi na hakuna mabadiliko yoyote

Unaweza kuwa umepima vipimo vyote na ume tibiwa hospital karibu kadhaa lakin bado tatizo la kushika ujauzito ni ngumu kwako

Leo tuongelee tatizo la p I d kwanin iwe p I d ni huu ugwanjwa wa mama tuna upuuzia Sana kwa sababu haukupi maumivu ya papo kwa papo

Ugonjwa huu wa p I d una shambulia via vya uzazi kwa taratibu had unakuja pata dalili tayar Kuna viungo vyako kadhaa vya uzazi vime athirika

Ikiwemo Mirija , Uvimbe mayai kuto kukomaa , Homon lmbalance (Mvurugiko wa hedh)

Hivyo unapo enda kupima ukaambiwa una Uvimbe na kuanza kutibu Uvimbe bila kutibu chanzo Cha tatizo kinacho fanyika Uvimbe ukiisha una otea Tena

Kuna swali hili nime kutana nalo San kwanin p I d siponi au nikipona inajirudia jibu ni hili unapo jitibia p I d je unajitibia wewe na mwenza wako au u ajitibia pekeako unapo jitibia wewe tu Kisha mnakuja kushiriki tendo la ndoa maana yake una rudishiwa bakteria na mwenzio kumbuka p I d kwa mwanaume haina madhara na bakteria wanapo rudi kwako hushambulia via vya uzazi kwa kasi San

Hata u t I msipo jitibia wote kila siku mama utakuwa wa kulala mika kwa u t I

K**a mmeo ni mgumu kujitibia u t I mwanamke jiwekee mda mzuri kila wakati kutumia doz ya maji ya madafuu grass 1 kwa kila siku tia ndimu 3 kwenye grass moja

Haya tukutane kwenye coment una mda gani huja shika mimba je umepima vipimo umeonekana na tatizo gan karibu nikushauli

Pia natoa ofa ya dawa nataka wa mama mfanikiwe

Dalili za p I d

Maumivu ya kiuno

🌱 Maumivu ya mgongo

🌱 Maumivu Makari ya nyonga

🌱Kutokwa na hedh yenye kuambatan na uterezi

🌱Kutokwa na uchafu mzito K**a maziwa mtindi

🌱Kutokwa na hedh yenye kuambatan na mabonge mabonge

🌱Kutokwa na uchafu mzito wenye harufu mbaya K**a shombo la samaki

Piga 0784655710

10/06/2023

Hello follower's habari

06/03/2023

*🚨IFAHAMU SHINGO YA KIZAZI*

Shingo ya kizazi ina majukumu mengi. Wakati wa hedhi hukak**aa na shuka chini zaidi ili kuruhusu damu chafu itoke nje ya Kizazi. Ni mlango wa kupitishia mbegu za kiume kwenda kwenye mji wa mimba na hutengeneza Ute unaovutika ili kusaidia mbegu hizo kuogelea. Shingo ya kizazi hutengeneza utando mzito na mgumu sana kupindi cha ujauzito ili kumkinga/kumlinda mtoto. Shingo ya kizazi hufunguka hadi kufikia sentimita 10 wakati wa kujifungua, na kupitia mfereji huu, mtoto hutoka kwenye mji wa mimba, kupitia ukeni hadi duniani.........
Kuanzia Leo acha kuingiza vitu ukeni dildo,ndizi ,Tango n.k acha. Acha kufukiza uke ,kuweka Vipipi, kutumia manukato na sabuni za kemikali ukeni, maana ukiharibu shingo ya kizazi utapata tabu sana

05/03/2023

*MAMBO MATANO YA AJABU USIYOYAFAHAMU KUHUSU UKE*

1⃣ Uke una mfumo unaojisafisha wenyewe kwa ndani na ni sehemu moja ya mwili wako ambayo ni safi kuliko maelezo, safi kuliko hata midomo yetu.

2⃣ Uke una Mfumo unaosafisha damu ya hedhi na shahawa wenyewe, hauhijaji
msaada wa aina yeyote

3⃣ Uke wenye afya una bacteria, lactobacilli, ambao ni kawaida kuwepo humo. Hawa hupambana na vijidudu visivyopaswa kuwepo huko kulinda uke
na mfumo wa uzazi kwa ujumla.

4⃣ Uke wenye afya sio mkavu, muda wote una ute usiokua na rangi (k**a maji), mwepesi na unaonata. Uzito, wingi na mnato wa ute huu hutegemea na mabadiliko ya mwili wa mwanamke. (Jifunze kutofautisha ili ujue muda inapaswa kumuona daktari)

5⃣ Uke wenye afya una harufu, ambayo ni nzuri, murua na isiyokera
K**a harufu itakua kali na inayokera (k**a yai bovu) basi uke wako
hauko katika afya njema na unahitaji kumuona daktari.

01/03/2023

KWA NINI UNAPATA MAUMIVU CHINI YA KITOVU?

👉Kawaida husababishwa na gesi na choo kigumu

Wanawake wengi mnapata maumivu ya mara kwa mara chini ya tumbo kwa sababu

👉Matatizo ya Hedhi

👉Maambukizi ya mfumo wa mkojo (UTI)

👉Ugonjwa wa Pelvic Inflamatory (PID) ni maambukizi ambayo huathiri uterasi na mirija ya uzazi. Mara nyingi huhusishwa na magonjwa ya zinaa, lakini pia inaweza kuendeleza bila maambukizi ya zinaa.

Dalili zinaweza kujumuisha maumivu wakati au baada ya tendo la ndoa, kutokwa na damu kusiko kwa kawaida ukeni, na maumivu chini ya tumbo.

Unapopata Hali hii fanya vipimo vya uhakika na kupata tiba.

27/02/2023

MWANAUME USICHOKIJUA KUHUSU MWANAMKE MJAMZITO

S*x kwa mwanamke mjamzito ni tiba.

1. Mwanamke mjamzito mara nyingi huwa anakosa usingizi kwahiyo s*x kwake humchosha na kumfanya alale usingizi fofofo usio na mang'amung'amu, kaka usimnyime.

2. Mwanamke mjamzito kuna wakati nyonga hukaza sana ila akipata s*x nzuri nyonga huachia na kujisikia vizuri.

3. Mwanamke mjamzito chuchu na huku kwa bibi huwa kumebadilika na damu inatembea sana na huwa na hisia sana ni kugusa tu tayari...

4. Joto la mwili wake huwa juu sana na mwili wake mara nyingi huwa katika hali ya uhitaji sana kwahiyo hupenda sana.

5. Mwanamke mjamzito anahitaji s*x ili kuweka njia vizuri na kumfanya awe sawa katika mfumo wa kupumua na uke wake uweze kumbana na kuachia hii humsaidia katika kipindi cha kujifungua.

Usiache kumpa tena na tena mkeo mjamzito ila umpe kwa mtindo usihatarisha usalama wake na mtoto. Kikubwa uzingatie ukubwa wa mimba na changamoto anazozipitia ila mpe tena na tena watamu na wapenda pia.

15/02/2023

*Dalili 5 Mbaya Ambazo hutakiwi kufumbia macho.*

Wanawake wengi wamekuwa wakipata dalili hizi, ila wamekuwa wakichukulia poa

Athari zake huweza kusababisha ugumba, msongo wa mawazo, mvurugiko wa homon, mimba kutoka mara kwa mara au hata kansa ya kizazi endapo hazitapatiwa ufumbuzi wa mapema.

*Dalili hizi ni* ...
1) Uchafu unaotoka ukeni wenye rangi ukiambatana na harufu mbaya

2) Miwasho mikali inayopelekea mpaka mashavu ya uke kuwa mekundu

3) fangasi na UTI inayojirudia mara kwa mara

4) Maumivu kipindi cha s*x mpaka kutokwa na damu

5) Harufu kali ukeni mpaka unashindwa kujumuika na wenzio

Dalili 5 juu hapo ni ishara ya matatizo sugu ya fangasi, kansa au mvurugiko wa homon

Yanahitaji kutibiwa mapema sana kabla hayajafanya uharibifu mkubwa mwilini.

🙏🙏🙏🙏

15/02/2023

*Je, Nini Madhara Ya Uke Kuwa Mkavu?*

Kukauka kwa uke wako kunaweza kusababisha madhara makubwa tu ndani na nje, nayo huwa k**a hivi ifuatavyo:

👉. Kuhisi hali ya kuungua ndani ya uke

👉. Kukosa hamu ya tendo la ndoa

👉. Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

👉. Kutokwa damu baada ya tendo kutokana na msuguano

👉. Kuugua UTI kirahisi na kuwa sugu

👉. Muwasho ukeni na

👉. Kuvimba kuta za uke.

👉. Kukosa hamu ya tendo la ndoa

👉. Kutokushika mimba kabisa

15/02/2023

FAIDA LA PARACHICHI KATIKA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAMKE
-parachichi inasource kubwa sana ya vitamin E ambayo inasaidia katika kupambana na ugumba /tasa.

♥Husaidia katika uboreshaji wa afya ya uzazi

♥kuzuia kutoka kwa ujauzito

♥kutengeneza kwa chembe chembe nyekundu za damu nk.🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑

15/02/2023

*Je, Nini Chanzo Cha Mzunguko Mfupi Wa Hedhi?*

K**a mzunguko wako wa hedhi ghafla ukiwa mfupi, inaweza kuwa kwa sababu ya mambo haya yafuatayo;

👉. Mayai kushindwa kupevuka

👉. Kipindi cha kukoma hedhi kuanza

👉. Kuvunja ungo

👉. Uvimbe wa fibroid kwenye kizazi

👉. Vivimbe maji kwenye vifuko kwenye mayai

👉. Msongo wa mawazo

👉. Kuwa na uzito kidogo sana au uzito kuwa mkubwa

👉. Matumizi ya uzazi wa mpango

👉. Maradhi

👉. Tezi za thyroid kufanya kazi kupita kiasi

👉. Tezi ya thyroid kufanya kazi kwa kiwango cha chini sana

15/02/2023

Mazoezi Mepesi Ya Kusaidia Kizazi Kisiinamie au Kulalia Upande.

Kuinama kwa kizazi kwa majina mengine ya kitaalamu tunaweza kuita tilted uterus, retroflexed uterus, retroveted uterus au backward uterus ni namna mfuko wa mimba unapovutika kuelekea nyuma zaidi ya mlango wa kizazi badala ya kuvutika kuelekea mbele.

Uhakika zaidi wa kujua k**a kizazi chako kipo sawa ni kwa kufanya kipimo hospitalini japo unaweza kujigundua kwa dalili mfano k**a :

• Kupata changamoto kwenye kuweka pedi yako ili kuvyonza damu ya hedhi.

• Maumivu ukeni na nyuma kwenye mgongo wa chini wakati wa tendo la ndoa

• Maumivu makali kipindi cha hedhi kutoka

• Kupata maambukizi kwenye njia ya mkojo (U.T.I) mara kwa mara

• Kushindwa kujizuia mkojo na Kuongezeka kwa eneo la chini ya tumbo.

Kumbuka siyo lazima kupata dalili zote kwa pamoja, k**a unapata dalili zisizo za kawaida ni vizuri kufika hospitali ili kufanya vipimo ukaanza tiba mapema.

● Nini Kinasababisha Kizazi kuinama

Mfuko wa mimba ambao ndio kizazi tunachozungumzia ni sehemu tupu ambayo inajiweka katika eneo la chini ya nyonga za mwanamke. Kazi yake ni kuhifadhi kichanga baada ya urutubishaji kufanyika.
Kizazi cha mwanamke kinaweza kuinama kutokana na sababu mbalimbali k**a

▪︎Kulegea kwa misuli ya nyonga:

Mwanamke akishafikia kukoma hedhi au baada ya kujifungua, misuli inayosapoti tumbo la uzazi hulegea na hivo kupelekea kizazi kuanguka kwa nyuma

▪︎Kupanuka kwa kizazi kutokana na ujauzito, ama vimbe mbalimbali k**a fibroids au vimbe ambazo si saratani (tumor) zinaweza kusababisha kuinama kwa kizazi.

▪︎Makovu ama msuguano kwenye nyonga
Mfuko wa mimba ama kizazi kinaweza kupata makovu kutokana na hali mbalimbali mfano , maambukizi k**a P.I.D, uvimbe (endometriosis) ama makovu kutokana na upasuaji uliowahi kufanyiwa kwa kipindi cha nyuma. Makovu haya yanaweza kufanya kizazi kuvutika kuelekea nyuma na kuinama.

Mazoezi Mepesi Ya Kufanya Ili Kuinua Kizazi k**a Kimeinama

Zoezi la kwanza ni KNEE CHEST
Lala kwenye sakafu (unaweza kutanguliza kipande cha nguo). Mikono ikiwa imeshika kichwa, kunja goti mpaka ikaribie kugusana na kifua, fanya k**a picha inaoeleza hapa chini. Tulia katika hali hiyo kwa sekunde 20 mpaka 30 kisha pumzika. Rudia zoezi husika mara 10 mapak 15 kwa kubadilisha miguu

Zoezi la Pili ni KEGEL au Pelvic Contraction
Mazoezi haya yanalenga kuimarisha misuli ya nyonga.

Jinsi ya kufanya zoezi hili lala kwenye sakafu huku mikono yako ikiwa imenyooka kuelekea kwenye miguu. Taratibu nyanyuka eneo la katikati na makalio kuelekea juu k**a picha inavyoonesha hapa chini.

Tulia ukiwa juu hivo hivo kwa sekunde 30 kisha pumzika (shusha kiuno chini sekunde kadhaa) rudia zoezi hili mara 10 mpakmwongozo wa milo na mambo muhimu kuzingatia ili upate matokeo mazuri zaidi.

15/02/2023

OVARIAN CYSTS

Bado nakukumbusha kuwa hakuna uvimbe utatokea kwenye mwili wa mwanamke bila kuwa na shida ya Hormonal imbalance

Tatizo la hormonal imbalance ni tatizo kubwa Sana hasa Katika jamii yetu dada zetu walio wengi inawasumbua
Hormonal imbalance inaweza kuja Kwa namna tofauti lakini still ni hormonal imbalance.

Moja Kati ya matatizo ya hormonal imbalance ni

👉 Excessive Menstruation Mzunguko mrefu kupita kiasi
👉Ovarian cyst
Uvimbe kwenye mfuko wa mayai
👉Fibroids
Uvimbe kwenye kizazi
👉Miconceptionas
Kushindwa kushika ujauzito
👉ENDOMETRIOSIS
(Chango)
👉Pain During menstruation Maumivu wakati wa hedhi)
👉 Cervical cancer
Saratani ya kizazi Kwa asilimia 50%
kwenye ovarian Cyst hapa
Mtu mwenye ovarian cyst huambatana na maumivu Sana upande ambayo kuna hio ovarian cysts
Wakati mwingine husababisha uke kuwa mkavu na kutoa Ute usio wa kawaida asubuhi
KISABABISHI NI NINI SASA HASA
Hapa nazungumzi Hormonal imbalance na nieleweke tunazungumzia hormonal imbalance naongelea mvurugano wa uwiano uliopo Kati ya homoni zinazozalishwa ndani ya mwili wa mwanamke.
Namanisha moja ya hormones ikizalishwa kidgo au kutozalishwa kabisa uwiano hupotea na ndipo Hormonal imbalance huzaliwa na matatizo Yake.
Mwanamke huzalisha homoni iitwayo estrogen ambapo hii ndio humuandaa mwanamke katika kupevuka na kumsaidia kuingia hedhi Kila mwezi
Asili ya hii hormone ni tindikali acid, Ikizalishwa yenye ndio huunguza ukuta WA uzazi na ndipo MTU huona hedhi (menstruation)
Sasa ikiwa mwili hauna uzalishaji wa (progesterone) kutoka kwenye tezi za (adrenalgland) basi ndipo uwiano hukosekana na (estrogen) huwa dominant (hutawala). Acid domination.
Acid hubadilisha Ile follicular kwenye ovaries (mayai) na kusababisha Ile follicular kujua au kutengeneza vijivimbe vidgo dgo ya maji.
🚨HORMONAL BALANCE
Estrogen + Progesterone = Hormonal Balance.

Na kwa experience yangu Ikitokea estrogen imetawala basi ndipo matatizo yanaanza Sasa

1️⃣Kushindwa kubeba ujauzito
2️⃣Kupata uvimbe (Fibroids)
3️⃣Maumivu
4️⃣Kukosa Hamu ya Tendo
5️⃣Hedhi kuwa nzito
6️⃣Vimbe maji (PCOS)
7️⃣Ukavu ukeeni

MWISHO:
Anza matibabu mapema K**a una tatizo lolote la uzazi

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Mbeya