Gideon mtabibu

Gideon mtabibu

Share

Tunatoa Elimu, Ushauri na Tiba bora kabisa kwa magonjwa mbalimbali ambayo yanawakumba binadamu

08/09/2022

!!

Tatizo hili huathiri viungo na baadae huathiri mfupa/mifupa.
๐Ÿ‡ Hutokea baada ya gegedu (cartilage) kulika kwenye viungo pia uteute kuisha.
๐Ÿ“ Huathiri viungo mbalimbali k**a vile pingili za ute wa mgongo, nyonga, magoti n. k

1. Virutubisho vinavyosaidia kuimarisha gegedu vinapopungua mwilini mfano glucoseamine
๐ŸŠ Mara nyingi virutubisho hupungua kwa sababu ya umri unavyozidi kwenda
๐ŸŠ Inasemekana mtu akifikisha miaka 30 mwili hushindwa kuendelea kutengeneza virutubisho vinavyotengeneza gegedu (cartilage)
Sababu zinazoongeza kasi ya kutokea kwa osteoarthritis
1. Uzito uliopindukia
2. Historia ya familia
3. Ajali
4. Kutumikisha viungo kupita kiasi mfano wanamichezo, wana mazoezi n. k

Yafuatayo ni yanayowafanya watu wengi waendelee kusumbuliwa na matatizo ya mifupa na maungio:
1. Watu wengi wanatumia dawa za maumivu
๐Ÿ‘‰Dawa za maumivu hupooza/hutuliza maumivu kwa muda tu na baadae maumivu hubakia palepale kwa sababu hazisaidii kuongeza uteute wala gegedu (cartilage)
2. Watu wengi wanafanyishwa mazoezi
๐Ÿ‘‰ Mazoezi pia huwa yanawasaidia watubkwa muda mfupi sana na baadae shida inajirudia pale pale.
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Kwa hiyo watu wengi ambao wana shida ya viungo kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa viungo kwa gharama kubwa sana.
DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
๐Ÿ‡ Maumivu kwenye magoti
๐Ÿ‡ Magoti kushindwa kujikunja
๐Ÿ‡Kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
๐Ÿ‡Kusikia milio ya mifupa kusagana kwenye magoti
๐Ÿฅ• Maumivu kwenye magoti
๐Ÿฅ•Kushindwa kuinama
๐Ÿฅ•Kusikia maumivu makali wakati wa kuinama

!

Hii ni ofa ambayo haijawahi kutokea. Hii ni kwa wale watakaoweza kujipatia tibalishe hizi kabla ya tarehe 30/9/2022. Karibu tukuhudumie leo uondokane na tatizo hili ndani ya muda huu.

Mawasiliano:
Call/whatsapp/sms:0653996935 au +255746025719

30/08/2022

90% ya wanawake wanao shiliki tendo la ndoa wanapata maambukizi ya bacteria wabaya sehemu za siri

KWA NINI HILI LINATOKEA?
๐Ÿ‘‰ Uke wa mwanamke una bacteria wengi sehemu za siri
๐Ÿ‘‰ Uke wa mwanamke kwa asili ni asidi/tindikali
๐Ÿ‘‰Uke was mwanamke unahitaji hewa
๐Ÿ‘‰ Uke wa mwanamke unahitaji uangalizi mzuri na wa hali ya juu mara kwa mara

HATUA 5 ZA UKUAJI AMBAZO HUMUHATARISHA MWANAMKE KUPATA MAAMBUKIZI AU UZALISHAJI WA BACTERIA WABAYA
1: Kutoka hedhi
Damu inapopita hupunguza asidiki na hii huweza kupelekea MAAMBUKIZI ya bacteria wabaya
2. Ngono/tendo la ndoa
Kipindi Cha tendo mwanamke huweza kuambukizwa bacteria wabaya
3. Ujauzito
Hupelekea mabadiliko ya homoni ambapo HUPELEKEA kuathiri kiwango sahihi Cha bacteria wazuri kinachotakiwa
4. Kunyonyesha
Pia Hupelekea mabadiliko ya homoni
5. Kukoma kwa hedhi
Homoni za mwanamke ambapo huacha kufanya kazi

VIHATARISHI VINAVYO PELEKEA. MAAMBUKIZI
โžก๏ธ Vyoo vya kuchangia public
โžก๏ธ Underwear za nailon
โžก๏ธ Nguo za kubana
โžก๏ธ Tendo la ndoa
โžก๏ธ Kukoma kwa hedhi

MAGONJWA YANAYO JITOKEZA

1:U.T.I (urinary track infection)
2:P.I.D(pelvic inflammatory disease)

U. T. I
๐Ÿ“Œ Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatokea kidogo
๐Ÿ“Œ Kukojoa mkojo unaochoma
๐Ÿ“Œ Kukojoa Mara kwa Mara mkojo kidogo
๐Ÿ“Œ Mkojo kuwa na harufu mbaya

maumivu makali ya nyonga,tumbo,chini ya kitovu
1๏ธโƒฃ Kutoka maji yasiyo ya kawaida na yenye harufu kali
2๏ธโƒฃ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
3๏ธโƒฃ Homa kali
4๏ธโƒฃ Maumivu kipindi Cha kukojoa
5๏ธโƒฃ Kechefuchefu na kutapika,
6๏ธโƒฃ Kutokwa uchafu sehemu za siri

YA P.I.D NA U.T.I
1. Kupata ugumba na utasa
2. Kukoma kujiamini
3. Kuharibu mfumo wa uzazi
4. Mimba kutoka
5. Kuvurugika kwa homoni mtu huanza kupata hedhi isiyo na mpangilio
6. Kutokufurahia tendo la ndoa

Changamoto zote hizo zinaweza kutatuliwa kwa kutumia tibalishe ambazo ni bora kabisa na kuisha kabisaaa. Tumewasaidia wanawake wengi kuondokana na changamoto k**a hizi. Huenda leo ikawa ni zamu yako.

Ikiwa unahitaji ushauri na tiba usisite kuwasiliana nasi kupitia namba hizi:
+255653996935
+255746025719

OFFA OFA!
Kwa wake watakaoagiza tiba hizi kabla ya Jumatatu ya tarehe 5/9/2022 watapata tiba hizi kwa bei ya punguzo la 20%. Amua leo kuondokana na adha zote zinazokusibu.

30/08/2022

Magonjwa hatari kwa wanawake yanayo tusumbuwa kwasasa ni PID,UTI SUGU,FUNGUS na MVURUGIKO WA HOMONI ZA UZAZI
Kwa wanawake wanao tarajia kupata watoto imekuwa shida Sana kulingana na kuwa na maambukizi haya kwamda mrefu hivyo kuufanya kushindwa kubeba ujauzito kabisa au mimba kutoa kabla ya kufikisha miezi mitatu

Sababu za mvurugiko WA homoni za uzazi
Uzito mkubwa
URaji mbovu
Utumiaji wa Dawa za uzazi wampango k**a sindano kijiti na P2
ULevi
Msongo wa mawazo

DALILI ZAKE
Heddhi kubadrika badrika
Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi au baada ya hedhi
Maziwa kujaa k**a mama mjamzito,Kuhis kichefuchefu na tumbo la chini kuwa kubwa

SABABU ZA PID
Ngono zembe
Kuugua UTI SUGU mda mrefu
Kujisafisha kutumia sabun sehem za siri,kutumia mate wakati wa tendo la ndoa
DALILI ZAKE
Kutokwa uchafu sehem za siri na tumbo la chini kuuma na huuma wakati wa tendo la ndoa
Kuwa mkavu sehem za siri wakati wa tendo la ndoa

Sababu za UTI
kutumia vyoo vichafu
Kutokunywq maji ya kutosha
Kusafisha sehem za siri kwa kutumia sababu zenye kemikali
Pia huambukizwa kwa njia ya kujamiana na mtu mwenye UTI

TIBA ZA MAGONJWA HAYA ZIPO KWA KUTUMIA TIBA LISHE ITAKAYO TIBU CHANZO CHA TATIZO NA KUKUPA ULINZI WAKUTOSHA MDA WOTE KWAMDA MFUPI SANA kwa mawasiliano wasiliana Nas kwa aim namba 0746025719 au 0653996935

22/08/2022

90% ya wanawake wanao shiliki tendo la ndoa wanapata maambukizi ya bacteria wabaya sehemu za siri

KWA NINI HILI LINATOKEA?
๐Ÿ‘‰ Uke wa mwanamke una bacteria wengi sehemu za siri
๐Ÿ‘‰ Uke wa mwanamke kwa asili ni asidi/tindikali
๐Ÿ‘‰Uke was mwanamke unahitaji hewa
๐Ÿ‘‰ Uke wa mwanamke unahitaji uangalizi mzuri na wa hali ya juu mara kwa mara

HATUA 5 ZA UKUAJI AMBAZO HUMUHATARISHA MWANAMKE KUPATA MAAMBUKIZI AU UZALISHAJI WA BACTERIA WABAYA
1: Kutoka hedhi
Damu inapopita hupunguza asidiki na hii huweza kupelekea MAAMBUKIZI ya bacteria wabaya
2. Ngono/tendo la ndoa
Kipindi Cha tendo mwanamke huweza kuambukizwa bacteria wabaya
3. Ujauzito
Hupelekea mabadiliko ya homoni ambapo HUPELEKEA kuathiri kiwango sahihi Cha bacteria wazuri kinachotakiwa
4. Kunyonyesha
Pia Hupelekea mabadiliko ya homoni
5. Kukoma kwa hedhi
Homoni za mwanamke ambapo huacha kufanya kazi

VIHATARISHI VINAVYO PELEKEA. MAAMBUKIZI
โžก๏ธ Vyoo vya kuchangia public
โžก๏ธ Underwear za nailon
โžก๏ธ Nguo za kubana
โžก๏ธ Tendo la ndoa
โžก๏ธ Kukoma kwa hedhi

MAGONJWA YANAYO JITOKEZA

1:U.T.I (urinary track infection)
2:P.I.D(pelvic inflammatory disease)

U. T. I
๐Ÿ“Œ Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatokea kidogo
๐Ÿ“Œ Kukojoa mkojo unaochoma
๐Ÿ“Œ Kukojoa Mara kwa Mara mkojo kidogo
๐Ÿ“Œ Mkojo kuwa na harufu mbaya

maumivu makali ya nyonga,tumbo,chini ya kitovu
1๏ธโƒฃ Kutoka maji yasiyo ya kawaida na yenye harufu kali
2๏ธโƒฃ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
3๏ธโƒฃ Homa kali
4๏ธโƒฃ Maumivu kipindi Cha kukojoa
5๏ธโƒฃ Kechefuchefu na kutapika,
6๏ธโƒฃ Kutokwa uchafu sehemu za siri

YA P.I.D NA U.T.I
1. Kupata ugumba na utasa
2. Kukoma kujiamini
3. Kuharibu mfumo wa uzazi
4. Mimba kutoka
5. Kuvurugika kwa homoni mtu huanza kupata hedhi isiyo na mpangilio
6. Kutokufurahia tendo la ndoa

Changamoto zote hizo zinaweza kutatuliwa kwa kutumia tibalishe ambazo ni bora kabisa na kuisha kabisaaa. Tumewasaidia wanawake wengi kuondokana na changamoto k**a hizi. Huenda leo ikawa ni zamu yako.

Ikiwa unahitaji ushauri na tiba usisite kuwasiliana nasi kupitia namba hizi:
+255653996935
+255746025719

20/08/2022

Tupo kwa ajili ya kutatua matatizo ya kiafya karibun uhudumiwe
0746025719

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Isyesye
Mbeya
2222