Uscf must

Uscf must

Share

Uscf must ni umoja wa kikristo wa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania � tawi la chuo kikuu cha sayans

29/05/2026

SHALOM IN GRACE...

Karibuni sana watu wa Mungu katika mkesha huu wa DIVINE AUTHORITY hapa Mbeya "Tughimbe Hall"
Mtumishi wa Mungu Pastor Josiah amekwisha wasili na tunakusubiri wewe tuu...

Mungu Awabariki wote.

Photos from Uscf must's post 28/05/2026

Shalom In Grace....

Tunamshukuru MUNGU kwa Neema Yake leo tumempokea mtumishi wa Mungu "PASTOR JOSIA" hapa MBEYA SOGWE AIRPORT tayari kwaajili ya ibada kubwa ya mkesha wa DIVINE AUTHORITY utakao fanyika siku ya kesh tarehe 29/05/2026 katika ukumbi wa Tughimbe (SIMBA HALL).

KARIBUNI SANAA......

27/05/2026

AINA ZA NDOTO
1. Prophetic dreams:znatoka kwa Mungu mwenyew(prophetic dreamers)
2. Spiritual dreams:znatoka kwenye ulmwengu wa Roho(alerting)
3. Soulish dreams:znatoka kwenye akili yangu
• Prophetic inamafumbo magumu na tafsr n tofaut na inavyoonekana while spiritual mafumbo yake ya wazi na madogo
4. Canno dreams(ndoto za kimwili):kunajs mwl
5.dreams from situation
6.demonic dreams

27/05/2026
Photos from Uscf must's post 25/05/2026

ANNOITING
Matendo 10.38
• Upako ni uwezesho wa Mungu wakutimiza kile uliagizwa
• Upako unaenda na Assigment
Isaya 61.1

Upako unakupa
1. Nafasi
2. Nguvu
3. Kibali
4. Hekima
Yoh 3.1

AINA ZA UPAKO
• Upako unakaa ndan ya mtu

Kumtengeneza mtu na yanakaa ndan
1yoh 2.27
1yoh 4.
1Sam.10.6

• Upako unaokaa juu ya mtu-huu ni upako wa utendaji
Kufanya huduma,kueneza injili

Luka 5.27
Kuutambua upako na kuutumia jns mungu anataka
Ezekiel 1.16

• Upako wa kushirikiana-unakuja ili kitu flan kitendeke
• Upako wa kikuhani: ni kufanya ibada
• Upako wa kifalme: ni kuamua mambo
1wafalme 19.15-17

LEVEL ZA UPAKO
1. Upako wa hazael
2. Upako wa Yehu
3. Upako wa Elisha
Zab 45.7
Zabur 105.45
Isaya 10.27

25/05/2026

🔥🔥🔥🔥 This service has fresh annointing

25/05/2026

ANNOINTING
Upako unakuja kwa ajili ya Assignment Mungu anayotaka uitimize kwa wakati huo

Photos from Uscf must's post 23/05/2026

THE MONTH OF DEEPER EXPERIENCE

23/05/2026

JOIN US SUNDAY SERVICES🔥
NLH 4
THEME:Not by might Nor by Power but by the Spirit

23/05/2026

Mungu anatafuta watu wakuwapa task duniani
Praying haitakiwi iwe ni muda wa wewe kupeleka matatizo yako kwa Mungu but inatakiwa iwe wasaaa wa mazungumzo yako na Kristo

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya