OneMic Media
Hii ni page maalum kwaajili ya kuhabarisha habari za Muziki na wahubiri wa Injili
24/03/2026
Wakati Unaendelea kuweka Comment yako k**a upo tayali..! PATA Tangazo kutoka studio.
✍️OneMic Media Tuna walimu wanaofundisha Kupiga Piano au kinanda kwa nija laisi ambayo hutachukua Muda utajua kupiga kinanda 🎹🎹 kinanda na kujua njia zake Ili pindi unatumia ujue njia yake...!
🌟Je unajua kanuni ya kupata key kwenye Vibao vya kinanda...?
✍️Pia Kwa wale wanaotaka kujifunza Uzalishaji wa Muziki, namaanisha Maswala ya Studio za Muziki (Unataka kuwa Producer..? njoo ufundishwe pia.
✍️TUNAPATIKANA MBEYA "UYOLE" NJIAPANDA.
0758598608
11/09/2025
28/08/2025
30/01/2025
KINACHOENDELEA SAKATA LA MUIMBAJI GOODLUCK GOZBERT
✍️Aliyewaikua Manager wa Goodluck Gozbert ameyasema maneno haya "Goodluck ni Muongo sana hakuna ukweli wowote kuhusu yeye"
✍️Ikumbukwe Jowzey pia amewahi kusimamia kazi za Muimbaji mashughuli Rose Muhando
30/01/2025
Macho yangu yakimtazama Mungu,
Najua msaada wangu u katika mikono yake, maana yeye ndiye aliyeumba Vyoote.
17/12/2024
WAIMBAJI WANAWAKE WA NYIMBO ZA INJILI NINI KINAWATESA?
✍️Kumekuwa na mwendelezo wa tabia Mbaya kwa baadhi ya WANAWAKE wanaoimba nyimbo za Injili kiasi cha kwamba imekuwa ngumu sana kwa sasa wakristo kuaminiwa maana tabia hii walioyonayo haimpendezi Mungu.
✍️Ukiangalia sakata hili linaloendelea katika mitandao ya Kijamii Tanzania, kuhusu Muimbaji Martha Mwaipaja na Mdogo wake Beatrice Mwaipaja, utagundua kwamba mafumbo ni mengi maana kuna Siri ya mambo ambayo inahisiwa Martha anatenda na hayo ni kinyume na Imani yake mkristo lakini yeye Wala hajali na mpaka sasa hajatoa tamko lolote hivyo baadihi ya watu wanadai kuna mambo Martha anayaficha ndio maana anauoga wa kyujibu.
✍️Lakini Ukiangalia sakata hili utaona tu jinsi ambavyo mtoto wa Martha anavyomtupia majungu Mama Mdogo wake lakini anavumilia mpaaka k
UONGOZI WA OneMic Media
Tunatoa pole kwa Wana Dar es salaam
Kwa Kule kilichotokea Soko la kaliakoo
Mungu awe Faraja wakati huu mgumu
16/10/2024
Muimbaji wa nyimbo za Injili Dr Ipyana ametumia Ukurasa wake kuongea na WAIMBAJI wa nyimbo za Injili katika mazingira ya kurusha jiwe gizani. Lengo anakemea Dhambi ya uzinzi ambayo kwa hivi karibuni imekuwa ikiwatesa sana WAIMBAJI wengi huku wakijiona wapo sawa maana nyimbo zao zinatrend hata k**a wanafanya uzinzi.
✍️Alichokisema ni kwamba
"Unaweza ukaimba na nyimbo zako zikatrend huku unaifanya Dhambi ya uzinzi lakini ukumbuke anayefanya utrend ni Shetani ambaye watu wake pia watakupokea na kutrendisha kazi zako lakini Mungu hakutambui.
.
Karibuni tupige story na kuhabarishana kwa habari za Muziki hasa wa Injili na habari Mbali mbali za wasanii na wahubiri.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Itezi
Mbeya