Charting room
life, relationship, Busness content😊
Hello wapendwa charting room tumerudi kwa kasi ya 5G😀, Kuanzia sasa tutakua tuna post kila wakati tutakua na mahudhui mbalimbali ya mafunzo, vichekesho na biashara. Tafadhali k**a unapenda vitu vizuri kaa karibu na ukurasa huu
Hello, new followers 😀 ahsanteni kwa kuendelea ku like page hii.. page hii inajihusisha na uuzaji wa accessories mbalimbali k**a saa,miwani,hellen,Pete,mikanda,wallet,mikoba nk
Tunapatikana mbeya, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja Bidhaa zote zitatumwa hapa
Mawasiliano: 0627839500
14/05/2022
Couple watch zipo unaeza ku match na rafiki yako au mme, mke pia zinafaa kwa zawadi ni nzuri mno na hazipauki wala kupata kutu kwa moja ni 35000, zote mbili ni elf 65000/=
Phone no. 0627839500
26/08/2021
Saa, karibu inbox kwa maulizo
23/07/2021
Smart watch zipo kwenye bei ya offer karibu ujipatie yako, sifa zake unaweka line, inapiga na kupokea ina support app zote, 0627839500 karibuni
04/07/2021
Karibuni saa hizi ni elf 10 kwa moja lakin pia wale mnaohitaji kwa jumla tunaanzia pc 6 kwa elf 8 tu karibuni. 0627839500 calls and watsapp
04/07/2021
Karibuni min wallet ni elf10 kwa pc moja wale wa jumla kuanzia pc 6 pia karibu 0627839500 kwa maulizo zaidi
Ahsanten wote mnaoendelea kufata ukurasa wangu.
11/06/2021
Karibuni mnipe oder ya saa nzuri za watoto ,saa moja nni elfu 6000 na ukichukua mbili unapata kwa 5000 karibuni sana, namba ya oder ni 0627839500
01/06/2021
Dears, karibuni saa hizi ni unsex mwanamke na mwanaume wote wanavaa,bei yake ni elf10,000 kwa moja lakini ukichukua kuanzia pc 5 utapata kwa elf8,000 tunapatikana mbeya lakini tunatuma mikoa yote kwa bei nafuu kabisa. karibuni sana
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya